Hakika kikulacho kinguoni mwako:!

Inasemekana alipoenda likizo kwao Somalia, alikuta Familia yao karibu yote imetekezwa kwa mabomu ya jeshi la Kenya.
 
Umeanza kukosa uwezo wa kufikiri, sasa kuwachukia waislam wote ndo nini unataka kusema, unaanza ubaguzi wa kidini?

Wachukie Al-shabab ndo walifanya mauaji sio uislamu.

Be careful COMMON SENSE IS NOT COMMON

waliofanya mauaji ni waislam,walifanya kwa jina la uislam,huwezi kutenganisah uislam na ugaida.

Kwenye uislam reasoning is highly discouraged,unaweza kua profesa lakini ukafanya jambo la kipumbavu ambalohata ambae hakwenda shule asilifanya kwa kutumia akili tu.

Mimi niko tayari kwenda motoni lakini sio kumuabudu Allah kam itatokea kwamba yeye ndie mungu kweli.
 
Inasemekana alipoenda likizo kwao Somalia, alikuta Familia yao karibu yote imetekezwa kwa mabomu ya jeshi la Kenya.

Hakuna kitu kibaya kama mtu aliejawa na kisasi na pia hakuna moyo wenye nia kama wa mtu anaejitolea (Volunteer).
Majority of them wanapigana ili kulipa kisasi na wanajitolea kufa kutimiza azma yao!
 
Inasemekana alipoenda likizo kwao Somalia, alikuta Familia yao karibu yote imetekezwa kwa mabomu ya jeshi la Kenya.
Familia yao gani ya somalia banaa, wakati huyo jamaa ni mtoto wa chifu mmoja wa Huko mandera county Kenya??
 
... Kuna tofauti ya kuelimika na kuamini !!!

DINI ZOTE ZINA MAPROFESA WA TAALUMA MBALI MBALI
 
I hate all muslims for the rest of my life

Dont hate them all...I know some who do not support al-shabaab...and even those who support..we are commanded not to hate them (though we have to hate their actions) but we should rather pray to God the Almighty and all-forgiving that they might see the light and change their evil thoughts
 
Damu nzito kuliko maji.

Unasoma nae, unakula nae, unacheza nae, unalala nae, halafu unakwenda kumuulia ndugu zake? na yeye anabaki anacheka tu na wewe? Fikiri.

Zaidi ya 10% ya Wakenya ni wenye asili ya Kisomali, kazi ipo. Tutayasikia mengi sana ya namna hiyo.

Hata shujaa wa west gate ni Msomali. Hapo sasa!
 
Tatizo la ajira kwa graduates linapelekea vijana waliokata tamaa kujiunga na makundi ya kihuni kama hili la alshabaab.

Ndugu zangu msitetee kisichoweza kupata utetezi..watu wengi hawana ajira..lakini hawapati hata wazo la kumchomolea mtu hela mfukoni..now how can you sit there and try to justify a massacre using an excuse of unemployment?
 
I hate all muslims for the rest of my life

Hujaanza leo na wala hukuanzza wewe na wala hautakuwa wa mwisho,

Kuna siku utauona ukweli, waliouona ukweli wote waliingia kwenye Uislam.

Utafute ukweli utakuweka huru.

Jee, unajuwa ni Waislam wangapi wanauliwa na majeshi ya Kenya?
 
Damu nzito kuliko maji.

Unasoma nae, unakula nae, unacheza nae, unalala nae, halafu unakwenda kumuulia ndugu zake? na yeye anabaki anacheka tu na wewe? Fikiri.

Zaidi ya 10% ya Wakenya ni wenye asili ya Kisomali, kazi ipo. Tutayasikia mengi sana ya namna hiyo.

Hata shujaa wa west gate ni Msomali. Hapo sasa!

shujaa indeed!!!
 
Kuna Mohammedan mwenzake na huyu ambaye bado anaclaim kuwa uislam sio ugaidi?
 
Nyinyi kawauweni tu ndugu zao na madege ya kivita na manowari za kivita na silaha nzito nzito, mnao zaidi ya Million 10 hapo hapo Kenya, watawaliza sana hao Wasomali.

lingekuwa suala la kuwaua wasomali nchi ingeshakuwa levelled within a micro-second..wanafuatwa walengwa tu..magaidi..in case of civillians deaths..it is not intentional

lakini how can you undestand? brainwashed since you started the madrasat!!!!
 
Back
Top Bottom