Haki sawa kwa jinsia ya kike kama ilivyo ya kiume haimaanishi kwamba tupo sawa kijinsia

siyo ulaya tu, hata Tanzania ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya jambo hili

Mbaya zaidi sasa hivi kuna wanaume wanaodai haki sawa zaidi ya wanawake

Tuliconcentrate kwa mtoto wa kike matokeo yake tumejenga gap kubwa sana. Yaani mtoto wa kiume amesahaulika, nafasi yake ndio inapotea na hilo ndio anguko la familia zetu na jamii nzima
 
it is a satanic archtecture, ukimmaliza mwanaume, umeua familia ha mwishowe ni ulimwengu wote. Financial support zote kwa sasa ni za kumwezesha mwanamke tu. Mwanamke akishakuwa na nguu ya kiuchumi, wachache sana wanabaki kuwa obedient.

madhara yake wanaume wengi wenye ndoa wako stressed sana na madhara yake nguvu zao za kiume ziko chini sana
 
Mungu atusaidie
 
Back
Top Bottom