Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

Huyu Manara brain yake ina albinism !? Anaposema bandari haituhusu je, anajuwa 39% ya bajeti ya taifa inatoka hapo?

Anadhani dawa yake ya Nitisinone kwa ajili ya tyrosinemia inapatikanaje na wapi? Kama siyo bandari hiyo kuingiza mapato.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ule upumbavu wa mwkristo kuwaombea heri na kuwashobokea watu toka Israel ndo upumbavu ule ule unaofanywa na hawa waislam kumshobokea na kumwombea heri mwarabu. Nafkiri watanzania tunahtaji uponyaji mkuu
Umepiga kote kote sijui kama utaeleweka 😂😂 !
 
Back
Top Bottom