Haitatokea Rais shujaa kama Samia yupo imara katikati ya vita vikali vya uchumi duniani

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Unahitaji Rais bold kupambana katika nyakati hizi za vita kali za kiuchumi duniani ikiongozwa na ile vita ya UKRAINE.
Serikali nyingi zimeangushwa kama after effect ya vita kali ya kugombea rasilimali huko UKRAINE.
Ukiwa na jicho la kingwini basi huwezi kutambua ni namna gani vita inayoitwa special operation in Ukraine inaweza kuathiri uchumi na siasa katika mataifa mbalimbali duniani.

Nchi kama Tanzania huwekwa kwenye wakati mgumu sana na wenye athari inapotokea vita hizi kali za kijografia,kihistoria na kiuchimi.

Itoshe kusema kuwa niwapongeze vyombo vyote vya Usalama na ulinzi kwa kuichambua hali hii na kukabiliana nayo viluvyo.
Basi wito wa watanzania wazalendo ni kuwapa moyo na morali ili muendelee kuipigana kwa weledi mkubwa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
🚮
 
IMG_8842.jpeg
 
Hapo lazima umeingiliwa na shetani! Siamini kabisa kama hii itakuwa ni akili yako. Yaani kabisa kwa akili yako, na utimamu wa moyo, unasema tuwapongeze polisi!! Tuwapongeze kwa kuua binadamu wenzetu! Loh! Lazima mwili na akili yako vimefanywa pango la shetani.
 
Unafanya maksudi ili ulalamikiwe
Unajua unachosema haikendani na hali halisi
 
Hahaha vita ya uranium (in mwegulu's voice)? Tumewehuka kama vile ndo kwanza tumegundua madini ya kwanza kabisa wakati tushaachiwa mashimo kanda ya ziwa dhahabu imepigwa chini kwa chini kanda nzima!
 
Unahitaji Rais bold kupambana katika nyakati hizi za vita kali za kiuchumi duniani ikiongozwa na ile vita ya UKRAINE.
Serikali nyingi zimeangushwa kama after effect ya vita kali ya kugombea rasilimali huko UKRAINE.
Ukiwa na jicho la kingwini basi huwezi kutambua ni namna gani vita inayoitwa special operation in Ukraine inaweza kuathiri uchumi na siasa katika mataifa mbalimbali duniani.

Nchi kama Tanzania huwekwa kwenye wakati mgumu sana na wenye athari inapotokea vita hizi kali za kijografia,kihistoria na kiuchimi.

Itoshe kusema kuwa niwapongeze vyombo vyote vya Usalama na ulinzi kwa kuichambua hali hii na kukabiliana nayo viluvyo.
Basi wito wa watanzania wazalendo ni kuwapa moyo na morali ili muendelee kuipigana kwa weledi mkubwa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Screenshot_20251230-124956~2.png
 
Vita vya Uchumi ni Vya sisi kwa sisi! Kati ya Mafisadi na wananchi!
 
Unahitaji Rais bold kupambana katika nyakati hizi za vita kali za kiuchumi duniani ikiongozwa na ile vita ya UKRAINE.
Serikali nyingi zimeangushwa kama after effect ya vita kali ya kugombea rasilimali huko UKRAINE.
Ukiwa na jicho la kingwini basi huwezi kutambua ni namna gani vita inayoitwa special operation in Ukraine inaweza kuathiri uchumi na siasa katika mataifa mbalimbali duniani.

Nchi kama Tanzania huwekwa kwenye wakati mgumu sana na wenye athari inapotokea vita hizi kali za kijografia,kihistoria na kiuchimi.

Itoshe kusema kuwa niwapongeze vyombo vyote vya Usalama na ulinzi kwa kuichambua hali hii na kukabiliana nayo viluvyo.
Basi wito wa watanzania wazalendo ni kuwapa moyo na morali ili muendelee kuipigana kwa weledi mkubwa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Vita vya uchumi my foot...✋🏻✋🏻✋🏻✋🏻

Toeni ujinga na upumbavu wenu hapa...
 
Back
Top Bottom