tuachane nayo haya bana dakteari wangu kila mtu si anaishi maisha yake
we mzima lakin
Mzima my lovely mgonjwa....vipi sijakuona tena.
tuachane nayo haya bana dakteari wangu kila mtu si anaishi maisha yake
we mzima lakin
aahahhahahhaha na uvinza isemaje sasa?
Mzima my lovely mgonjwa....vipi sijakuona tena.
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.
Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?
Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.
tukuchangie usome hata kadiploma basi
teh kwan digrii cku izi is still an issue?
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.
Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?
Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.
Tatizo mtoa mada anakuwa kama anawakandia wenye degree simply because wamesoma and not otherwise. Na inaonesha 2 dhahiri kwamba yeye hajasoma na wala hajisikii vibaya wala kuumia that hana elimu yan yeye karidhika tu kalaghabaho sijui kama utawapeleka shule watoto wako dada angu.
My dear "Elimu ni ufunguo wa maisha", haijasemwa kuwa papuchi ni ufunguo wa maisha. Hata kama mume wangu atakuja kwako we ngumbaru, jua tu at the end of the day atarudi kwangu, mimi ndo mkewe halali. Sasa kama anakupenda sana kwa nini hakukuoa wewe akanioa mimi?
Na nikwambie tu vizuri yani siku hizi wasichana wengi tu wa chuoni wanamaliza degree zao na kuolewa fastaaaa. Wanaume wana-invest sana huko vyuoni. Hivi kwa jinsi maisha yalivyo magumu sasa ukimzungushia mumeo bakuli sana ndo mnapata school fees au? Wewe kutwa kuchwa unawaza tu leo baba harris ntampa style ya mbuzi kagoma khaaaa huwazi about future, mtoto tu akikuomba hela ya daftari, utamwambia subiri baba arudi kazini, kweli jaman?
Halafu hujajua tu hata wanaume wanahonga kutokana na hadhi ya mwanamke, wewe ngumbaru ukihongwa sana umeletewa kitenge wax na vocha bac weee unakenua tu kama zombie coz unaona ndo umepataaaaaa, but demu msomi aaah full kuhongwa ma verossa na kupangiwa apartment za maana.
So grow up ma sista, naamini its not too late, kachukue tu hata form ya chuo chochote usome tu hata certificate, uweze kuwa independent afu umsupport huyo bwana kwenye mambo ya maendeleo + na hyo papuchi yako mwenzetu yenye sukari guru basi ndo atakolea kwako vizuri.
wanawake wenye degree wanazingua jamani! Wanaboa sana,wanajifanya wana hoja kwa kuwa wamesoma! Wanasahau kabisa kuwa huku ni Afrika na sisi ni waafrika!tamthilia zinawaharibu sana.
Bibie kama anakuthamini sana kuliko huyo wa degree si umwambie amtoe ushike wewe usukani au weye namba mbili inakutosha sana?Hayo ni machache tu kati ya mengi ambayo ninayafanya, na ukweli utabaki kwamba mumeo angekuona wewe wa maana kwanini kaja kwa ngumbaru mie? Hamjui mapenzi, hamjui kupenda, hamjui kuthamini, hamjali mpompo tuuu kisa usomi na malaptop yenu kila siku mnapishana checkin na mumeo na kwa taarifa yako ukimwona kasafiri jua kasafiri na ngumbaru wake.
Tena siku hizi tutaanza kubana kama mnazidisha nyodo, hata vijizawadi tutakaata msiletewe mnaboa sana ingekuwa digrii inamata basi wote wenye digrii ndoa zenu zingekuwa na furaha lakin maskini ya Mungu kumbe degree hailei mume wala haitunzi familia.
of course, it's not an issue to those with money, 'brain' and have attended to at least good schools. you being one of them does not apply to the rest of us....teh teh teh
ahahahhahahhahahhahha mimi love yu kwa mambo mengi!
by the way whatcha ideas on the proposal i ask ur secretary to pass?
please i do need yo inputs gal!!
Ni Tanzania pekee, mtu akiwa na degree anaonekana amekosea sana, acha watu waringe na degree zao, watu wametoil ile mbaya,,,,, kulala masaa mawili kwa siku! we ni nani haswa unawaponda wenye degree tena kwa jambo ambalo hujalifanyia utafiti????
Nimegundua digrii ya mwanamke ni kikwazo, kuna jinsi ku undo?