Hainaga digirii

Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.
maneno ya mkosaji hayo,jitahidi basi upate hata kacertificate,unaona kuwa hawara bigdeal,wenzako hatupo huko,kama anafuata gumbalo ni yeye mimi inanihusu nini?
 
Na nyie ngumbaru sometimes ni pasua kichwa tu, Swala la kuolewa hilo mlisahau kabisaa, mtaishia kumegwa tu.
 
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.

Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?

Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.

mmmh majanga!
unachoongea labda kina mantiki maana naonaga maeneo ya ppftower kuna wamama wa kiswahili wako pale chini wakiuza dawa za kuweka kwa papucha uko loolz! kukaza uke sijui kufanyaje loolz sasa wadada wa mujini wenye degirii wanachangamkiaje tenda iooo. nadhan wamelihisi ilo loolz.
 
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.

Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?

Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.

Hahahaha da soph most of women wakisoma wanakuwa na dharau xana cjui kwann
 
hahahahahahahajm Da Sophy welcome back nili kumiss.

bila shaka mwanao na mumeo wazima.
 
Last edited by a moderator:
Utofauti upo kichani, huwezi kumlinganisha mweny degreena asiye nayo

Ebu achen mambo yen ya ajab
 
Hahahaha da soph most of women wakisoma wanakuwa na dharau xana cjui kwann

........Sio kwamba dharau, ujue mwanamke msomi anakuwa na hoja.
Sio mtu wa kupelekeshwa.

Tatizo la wanaume anataka akisema kitu basi iwe hivyo hivyo.

Ukihoji tu basi waonekana mke una dharau.
 
........Sio kwamba dharau, ujue mwanamke msomi anakuwa na hoja.
Sio mtu wa kupelekeshwa.

Tatizo la wanaume anataka akisema kitu basi iwe hivyo hivyo.

Ukihoji tu basi waonekana mke una dharau.

u a ryt.
 
........Sio kwamba dharau, ujue mwanamke msomi anakuwa na hoja.
Sio mtu wa kupelekeshwa.

Tatizo la wanaume anataka akisema kitu basi iwe hivyo hivyo.

Ukihoji tu basi waonekana mke una dharau.

Cjamaanisha hvo me mfano ninao mwingne alivyokuwa advance alikuwa na anaheshma na mshaur but alivyoingia chuo 2 ful kujiona yy ndo kila k2 ukimwambia k2 anabisha ful kiburi coz anajiona anajua
 
wanawake wenye degree wanazingua jamani! Wanaboa sana,wanajifanya wana hoja kwa kuwa wamesoma! Wanasahau kabisa kuwa huku ni Afrika na sisi ni waafrika!tamthilia zinawaharibu sana.
 
........Sio kwamba dharau, ujue mwanamke msomi anakuwa na hoja.
Sio mtu wa kupelekeshwa.

Tatizo la wanaume anataka akisema kitu basi iwe hivyo hivyo.

Ukihoji tu basi waonekana mke una dharau.

Nadhan akisoma sana labda anajiamin ki material kuliko perfomance
 
haihitaji digrii kujua 'kulewa' mume wa mtu ni kuathiri familia,kwa nini usilewe wine?
 
Ngoja leo nikae pembeni nione wenye digrii vs wasio na digrii wanavyotunishiana misuli...

Ajabu wote wana chumvi

hahhaahah,nilitaka ni comment but it simz unaenjoy ze show wacha na mi niangalie mpambano wa dada zangu apa....mwishoniiii ntasubir nani mshndi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom