Hainaga digirii

Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.
Tatizo mtoa mada anakuwa kama anawakandia wenye degree simply because wamesoma and not otherwise. Na inaonesha 2 dhahiri kwamba yeye hajasoma na wala hajisikii vibaya wala kuumia that hana elimu yan yeye karidhika tu kalaghabaho sijui kama utawapeleka shule watoto wako dada angu.

My dear "Elimu ni ufunguo wa maisha", haijasemwa kuwa papuchi ni ufunguo wa maisha. Hata kama mume wangu atakuja kwako we ngumbaru, jua tu at the end of the day atarudi kwangu, mimi ndo mkewe halali. Sasa kama anakupenda sana kwa nini hakukuoa wewe akanioa mimi?

Na nikwambie tu vizuri yani siku hizi wasichana wengi tu wa chuoni wanamaliza degree zao na kuolewa fastaaaa. Wanaume wana-invest sana huko vyuoni. Hivi kwa jinsi maisha yalivyo magumu sasa ukimzungushia mumeo bakuli sana ndo mnapata school fees au? Wewe kutwa kuchwa unawaza tu leo baba harris ntampa style ya mbuzi kagoma khaaaa huwazi about future, mtoto tu akikuomba hela ya daftari, utamwambia subiri baba arudi kazini, kweli jaman?

Halafu hujajua tu hata wanaume wanahonga kutokana na hadhi ya mwanamke, wewe ngumbaru ukihongwa sana umeletewa kitenge wax na vocha bac weee unakenua tu kama zombie coz unaona ndo umepataaaaaa, but demu msomi aaah full kuhongwa ma verossa na kupangiwa apartment za maana.

So grow up ma sista, naamini its not too late, kachukue tu hata form ya chuo chochote usome tu hata certificate, uweze kuwa independent afu umsupport huyo bwana kwenye mambo ya maendeleo + na hyo papuchi yako mwenzetu yenye sukari guru basi ndo atakolea kwako vizuri.
 
Da Sophy umewapasha vya kutosha naona sasa wanaweweseka. Wengi wanao kupinga hawajakuelewa una maana gani. Thread yako inamaana kubwa sana katika mahusiano hasa ya wasomi wa juu na wakawaida kwa upande wa wanawake. Wengi wao wenye degree wanamaringo na husababisha ndoa kuwa ya misukosuko sana. Akiwa kazini kila siku anawaza kazi zake wakati ambae ni ngumbaru yeye ni kuwaza amfanyie nini mumewe leo. Kuna mengi tu naishia hapo.
 
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.

Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?

Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.
kwanza degree au masters yake mi hainihusu, nikimpata hivi vyeo natupa kuleeee nikimmaliza avivae nje ya mlango wangu!
kwanza i dont f*** degree or masters, i f** a woman!
 
Nime enjoy kusoma hoja za wadada wenye degree na wasionazo........mi nitaoa mke anayejielewa na kujua thamani na wajibu wake....awe na degree au hasiwe nayo
 
Tatizo mtoa mada anakuwa kama anawakandia wenye degree simply because wamesoma and not otherwise. Na inaonesha 2 dhahiri kwamba yeye hajasoma na wala hajisikii vibaya wala kuumia that hana elimu yan yeye karidhika tu kalaghabaho sijui kama utawapeleka shule watoto wako dada angu.

My dear "Elimu ni ufunguo wa maisha", haijasemwa kuwa papuchi ni ufunguo wa maisha. Hata kama mume wangu atakuja kwako we ngumbaru, jua tu at the end of the day atarudi kwangu, mimi ndo mkewe halali. Sasa kama anakupenda sana kwa nini hakukuoa wewe akanioa mimi?

Na nikwambie tu vizuri yani siku hizi wasichana wengi tu wa chuoni wanamaliza degree zao na kuolewa fastaaaa. Wanaume wana-invest sana huko vyuoni. Hivi kwa jinsi maisha yalivyo magumu sasa ukimzungushia mumeo bakuli sana ndo mnapata school fees au? Wewe kutwa kuchwa unawaza tu leo baba harris ntampa style ya mbuzi kagoma khaaaa huwazi about future, mtoto tu akikuomba hela ya daftari, utamwambia subiri baba arudi kazini, kweli jaman?

So grow up ma sista, naamini its not too late, kachukue tu hata form ya chuo chochote usome tu hata certificate, uweze kuwa independent afu umsupport huyo bwana kwenye mambo ya maendeleo + na hyo papuchi yako basi ndo atakolea kwako vizuri.
You have said it all.....
 
Hehehe.....Anamaanisha "degree cap"

1331671972_42.jpg

Ha ha ahaaaaaaaaaa! Kama hiyo kofia ndio ingekuwa degree si kila mtu angeenda kununua yake? Tena unanunua 3 kwa mara moja unapata 1st degree, masters na PhD kwa siku moja! Lol!
 
Kila nikiirudia kuisoma hii thread sioni sehemu yoyote ulipoikosea,na kila nikilinginisha wanawake walio na degree na wasio nazo, naona wenye degree, degree zao zinaishia kichwani na kupata kazi. Naunga mkono hoja ( Ila unatakiwa kusema wengi wa wenye degree)
 
HIVI HUJUI NA k nazo zina PHD!!!!
we kalia papuchi yako isokuwa na certificate mamii!
HALAFU INAKUSUMBUA ENH!
huyo mke wa huyo mume anakutesa sana hujui tu
HEHEHEHEHEHEHHEE hii ni kwa mujibu wa degree yangu ya psychology!ah sore shahada yangu ya saikolojia!
 
Papuchi na degree ndio mpango mzima bwana
 
Muambie hata chekechea tena za uswazi wanavaa kofia hizo kabla hawajaingia std 1. Hahaha
Ha ha ahaaaaaaaaaa! Kama hiyo kofia ndio ingekuwa degree si kila mtu angeenda kununua yake? Tena unanunua 3 kwa mara moja unapata 1st degree, masters na PhD kwa siku moja! Lol!
 
Ahahaha Mungu kakupendelea kweli kukupa digirii ya papuchi inakuweka mjini. Daah! Ndo maana mume wangu anahakikisha alipa ada za praimarw milioni kibao ili wanae wasiwe kama wewe na wanao. Haya mkisafiri kaba akununulie zawadi naake sure ananinunulia perfume yangu ninayoipenda(manake bila papuchi hupandi ndege wewe). mie ticket zinanisubiri foleni ndo maana sina wasiwasi. Wanaonitongoza wa pembeni nawaona hawana maana manake sina nnachohitaji. Nna mume mzuri (japo akienda kazini anajiiba dk chache ili na wewe upone), nna kazi nzuri na nina uhakika hata mola akimchukua mume wangu leo wanangu watasoma na magari ntaendesha na wala sihitaji kuuza papuchi. Manake hapa huyu baba akitetereka shosti si inabidi urukie tawi lingine?

Nakushauri usiichukie digirii yangu. Ila sasa shukuru mola nimekuwa loose na wewe japo unapata makombo chini ya meza yangu na wanao wanaenda toilet.

Ambapo sijaelewa, hapo mwisho hapoo. Kiwa tunaboa sana? Tukikaba utaenda chooni kweli? Manake huyu mume ukimchukua mie nitasurvive tu najua, wewe ndo nakuhofia na mjini shamba lako ndo papuchi. Usisahau kuweka akiba hehehe. Unaboreka unamuonea huruma wakati wewe ndo unamjali? Dunia ina mambo lol
Hayo ni machache tu kati ya mengi ambayo ninayafanya, na ukweli utabaki kwamba mumeo angekuona wewe wa maana kwanini kaja kwa ngumbaru mie? Hamjui mapenzi, hamjui kupenda, hamjui kuthamini, hamjali mpompo tuuu kisa usomi na malaptop yenu kila siku mnapishana checkin na mumeo na kwa taarifa yako ukimwona kasafiri jua kasafiri na ngumbaru wake.

Tena siku hizi tutaanza kubana kama mnazidisha nyodo, hata vijizawadi tutakaata msiletewe mnaboa sana ingekuwa digrii inamata basi wote wenye digrii ndoa zenu zingekuwa na furaha lakin maskini ya Mungu kumbe degree hailei mume wala haitunzi familia.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom