Hainaga digirii

Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.

Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?

Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.

Una hoja ya yenye mashiko japo uwasilishaji umekaa KIMIPASHO MIPASHO!
 
Dude could you please not waste my time?

I wanna know this!What does you mean"chumvi"?

If do you think that to ask you some very simple question is the same as to waste your time don't answer it then!

But my tension was very clear:Just to grasp the hidden meaning of"chumvi"!Very sorry for asking!
 
.......Da Sophy Upoo!! Ila elimu muhimu bana, hata mume akichukuliwa

hakuna mtu atayeweza kuchukua elimu yako!! Upo hapooo!!

Nafikiri we unaweza kuwa mwanafunzi mzuri.
Hicho ndio anachojarib kuwafundisha, ona wewe tayari unawaza hata ukiachwa bado unaweza kuendelea na maisha yako kwa sababu umesoma so huwezi kupambana kuitunza ndoa yako. Yeye anaonyesha namna ambavyo hawezi kirahisi kumuachia mpenz wake sababu anamhitaji which means ni lazima mahusiano yake yatadumu tofauti na wewe unaejihisi huitaji msaada wa mume. Big up Da Sophy endelea kuwapa somo... ...............
 
Na nyie ngumbaru sometimes ni pasua kichwa tu, Swala la kuolewa hilo mlisahau kabisaa, mtaishia kumegwa tu.

Nakuhakikishia ndoa zinavunjika aisee. Nina mifano hai tena ya kutosha. Huyo Da Sophy ana hoja ya msingi ukiachilia mbali presentation ndio sio nzuri
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom