Huna jipya, huna la maana kila leo kusakama degree. Pole sana, hata kama ulilenga kufunza siku zote unaharibu kwa kumuuingiza mwanamke mwenzio unaeiiba mume wake, na usipoangalia uzee wako utakuwa wa shida, una mawazomgando, sikushangai wenye tabia za kung'ang'ania wanaume na kuwasakama wanawake wenzao siku zote wanamitazamo kama yako. una chosha maana huwezi anzisha topic yenye mlengo mwingine ni k tu, na kumsakama mwanamke mwenzio amekukosea nini?kaa jitafakari amekukosea nini kila ukianzisha topic ndani yake lazima umseme, pole sana. Mungu akuhurumia akufungue kwenye vifungo ulivyofungwa na shetani.