Hainaga digirii

Hainaga digirii

Status
Not open for further replies.
mbaya zaidi, tuna madigirii afu na wanaume ndo tushawakaba wameingia kingi wametuwowa. sasa huna digirii, babako hana kampuni ya mabasi, una papuchi tu na weupe wa korogo? lazma uwe na #jotohasira hehehe

ahahahahha
HAPA DEGREE
PALE MUME
KULE WATOTO
KUSHOTO PER DIEM
KULIA NIGHT ALLOWANCES
KATI THE HOUSE WITH OUR TITLE DEEDS
JUU DOUBLE DIGITS SALARIES
eehehhehehehe do we need more than these
ahahahha nimesahau mitongozo ya wenye degree
 
mi naona hiyotabia ya kuringa kisa elimu kwa akina dada SIO WOTE jamani, na isiwe mkakariri kuwa wote wapo hivyo...kuna wengine shule hakuna na bado majigambo anakuwanayo km kuringia sura, umbo lake, nk na wakati mwingine hushindwa kumudu nyumba zao, na kuna waliosoma na hawaringii chochote na wanamudu nyumba zao vizuri tu...hapa cha muhimu kwetu sisi akina dada ni kujishughulisha kutafuta mshiko huku pia kujishughulisha kumudu nyumba zetu(hapa namaanisha kutunza na kulinda ndoa zetu). Unaweza ukafeli mtihani wa darasani ila ukafaulu kutunza nyumba yako, au ukafaulu darasani na ukafaulu pia kumudu nyumba yako..tujitahidi tu TUSIFELI KOTEKOTE sasa...ok?
 
hehehe, mie namsaidia tu ariraksi. anafaudu yeye afu analalamika yeye? kulikoni?
afu nimekukumbuka aisee, unapotea sana banaaa. hapo na wewe unataja fizikia unazidi kumuudhi mwenzio. ataanzisha uzi mianaume yenye digirii inaboa sana
.........hehehe, hebu #maSistahFromAnotherMother Oooo chill nawewe, kha?

Unapoteza miguvu mingi kujibu article kwa kireeefu ....

Haka kamchezo kanatumia Basic Fizikia kwenye gravity na acceleration, Baiolojia via hormones,body temp, chemical reactions etc na Hisabati za hapa na pale....bhaaaas

End results na kunogewa ni akili ya mtu tu.
 
hapo double digits unaongelea yale masifuri meeengi?
hahaha mitongozo ya kiingereza. acha turinge banaa kha!
ahahahahha
HAPA DEGREE
PALE MUME
KULE WATOTO
KUSHOTO PER DIEM
KULIA NIGHT ALLOWANCES
KATI THE HOUSE WITH OUR TITLE DEEDS
JUU DOUBLE DIGITS SALARIES
eehehhehehehe do we need more than these
ahahahha nimesahau mitongozo ya wenye degree
 
hapo double digits unaongelea yale masifuri meeengi?
hahaha mitongozo ya kiingereza. acha turinge banaa kha!

HAHAHAHHAHA yani double digits zinaanza af ndo zinakuja sifuri nyingi nyingi kule mbele
ahahahha kwanini sasa tusimuhijack paw
af mitongozo ya kiingereza ehehehhee inanogaje sasa ile like babe am so into you! Da Sophy akisema i love you sio ndo anamaanisha anampenda huyo mume wa wmenye digirii mwenzetu
ahahahhaha ANAKUWA ANAFANYA HOMEWORK YA ENGLISH COURSE Kongosho na watu8 where art thou?
 
Ku-narrow down candidates sio ishu


Ishu ni mwanamke kuhukumiwa sana simply ana digrii, sielewi kwa nini? Kama wanawake wenye digrii wanawatesa hivi, kwa nini wanawafuata? Is it a crime kwa mwanamke kusoma?

Nataka kufanya maamuzi ya kuachana nazo, ila siwezi ku-undo hizi zilizopo

Afu pafyumu usisahau

sio kikwazo best. ila ukiwa na digirii nyingi ina-narrow down alternatives za wanaume wanaokutongoza. they will need confidence of some kind. kama hajasoma, hayuko intelligent (manake akili na kusoma ni vitu viwili tofauti, huu ujinga wa Da Sophy hata angesoma usingemtoka, huwezi jisifia kuwekwa hawara) na hana pesa anajijua kabisaa maji yana kina haya nikae mbali. kuwa na madigirii ni kama kuajiri kwa kutumia recruitment agency, wanajichujaa cream ndo inajitokeza kwikwikwi. msirushe mawe natania banaa
 
sasa na wewe nae! kwani madigirii mateka kalalamika hayapendi? mateka kaona madigirii ndo maana kakuoa. anajua wewe ni manager, director, supervisor, mlinzi, chef, babysitter, mke, mhasibu, mchungaji you name it! Anapata full package. kama akiitiwa papuchi tu si umuache akaonje? phd unapata lini mie nna nguo mpya hata pa kuivaa sina, madigirii yananikosesha shughuli za kufundwa sijui nini hehehe
Ku-narrow down candidates sio ishu


Ishu ni mwanamke kuhukumiwa sana simply ana digrii, sielewi kwa nini? Kama wanawake wenye digrii wanawatesa hivi, kwa nini wanawafuata? Is it a crime kwa mwanamke kusoma?

Nataka kufanya maamuzi ya kuachana nazo, ila siwezi ku-undo hizi zilizopo

Afu pafyumu usisahau
 
Siku hizi bongo kuna vyuo kibao vya kuunga unga vinatoa degree mbofu mbofu kimoja kipo ukonga hata supplementary exams wala disco hakuna! Ukimaliza pale nawe utasema una degree! Wasikutishe Dasophy, mwanamke ni kujitambua kimaisha.
 
Kwenu wote kina dashosty mnaojisifia digirii zenu ujumbe unawahusu. Digirii kajisifie nayo ofisini kwako au unapoomba kazi ya kuajiriwa ya kidigirii. Haihusiki kwengine. Ladha ya chumvi ni ileile kwa mwenye digirii na asokuwa nayo.

Kama digirii zenu zingekuwa mali hao waume zenu wenye digirii tatu tatu wanafata nini kwa wanawake ngumbaru waso na digirii?

Nilishahudhuriaga mahafali ya digirii nikaona, zile digirii wanaveshwa kichwani tu, kwengine hakuna tafauti. Ndio mjue hivyo.
Mshukuru Mungu kwa yote,huna degree shukuru pia. unaelekea kubaya ni dalili ya kurukwa na akili jichunguze. kama unaihitaji nenda nawewe kavikwe sio kuwasakama wenye degree,pole sana bahati mbaya huwezi kunyang'anya degree zao. Mungu kawajalia degree waache walinge nazo nizakwao, na kwa jinsi unavyowashambulia inaonyesha unaumia sana wenzio kuwa na degree.
Hujachelewa nenda kaanze QT au memkwa na wewe uipate. Maisha ni zaidi ya hizo ladha za chumvi, kuachwa anaachwa yoyote mwenye degree na asiyekuwa nayo na hao wanaume wakati mwingine wamefukuzwa so sio kila mwanaume anaekuja kwako umemvutia mwingine hana namna mke kamtimua ndo kakimbilia kwako,
Nenda rudi gidrii muhimu sana kwa wanawake katika kizazi hiki, na inaheshima yake acha wajidai sio kila mtu anaweza kuwa nayo. hayo ya mwanume kufuata mwanamke mke mwingine ni maisha tu popote yanaweza tokea hata wewe ngumbaru ukakimbiwa tena kwa matusi na kuambiwa sababu wewe ngumbaru. Jiangalie usije ishia kuokota makopo kisa wivu wa degree za wanawake wenzio.
Mungu akusamehe bure, sidhani kama wenye degree wamekukosea, kama aliyekukosea ni yule mume wa mtu, angekuona kwanza wewe kabla hajaoa mwenye degree.
 
Maana watu wanashambulia hapa hadi basi
Utadhani hawasomeshi binti zao.

Nitakustua nikigombea phd

sasa na wewe nae! kwani madigirii mateka kalalamika hayapendi? mateka kaona madigirii ndo maana kakuoa. anajua wewe ni manager, director, supervisor, mlinzi, chef, babysitter, mke, mhasibu, mchungaji you name it! Anapata full package. kama akiitiwa papuchi tu si umuache akaonje? phd unapata lini mie nna nguo mpya hata pa kuivaa sina, madigirii yananikosesha shughuli za kufundwa sijui nini hehehe
 
Cna mpango wakuoa mwenye degree,wanavyojiona wanajua kla kitu,ctaki kuumiza kchwa kazn nirud nyumban tena niumizwe kchwa na mke,NO,mwenye certificate tu inatosha.
Pole sana, hujiamini mtoto wa kiume, waachie wenye uwezo wa ku handle wenye degree, inahitaji uwe mwanaume la kaa mbali nao, bora umejitambua level yako wenye certificate tena uweke na mkataba ukioa hamna kujiendeleza. na wanao wa kike wataishia certificate?
 
Wenye usomi wao watakuja juu oooh!!! hawa ni wkasababu ya shule lakni ukweli unabaki pale pale mwanamke aliyesoma ni majanga kwenye ndoa. Wanawaburuza wanaume utafikiri mikokoteni ndio maana mangumbaru tunasoko zaidi kwa waume zenu wasomi wenzenu.
Soko la kuwekwa vimada? sishangai hata binti zako ukiwafunza hivyo, kuchukuliwa na waume za watu ni soko nalo? kwa nini usiwe na wakwako? maneno huumba dada angalia wanao wasije rithi hiyo tabia. waache kusoma wawe soko kwa waume za watu.
 
Nafikiri huyu dada kuna mtu mwenye digree kamdharau...............kuna kitu kiko ndani ya ujumbe kinaitaji utulie zaidi umuelewe. Pia nafikiri amejaribu kuwatahadharisha wadada wenye digirii wasibweteke kuwa waume/boyfriend zao hawawezi kutoka/kucheat na watu ambao hawajasoma/wasio na digirii...........ana point ila watu wamepanic kwa sababu kuna kaukweli flani.
Huyu dada katoka mbali, kazaa na mume wa mtu,anadai kajengewa nyumba . Mume ana mke mwenye madegree ndo anampasha huyo mke mwenye madegree, kamuandama mwanamke mwenzie. Lengo la da sophy ni mipasho na kushawishi watu shule haina maana,na si kuwajenga. hana hujumbe mwingine zaidi ya huo.
 
 
Last edited by a moderator:
Hili nalo neno, lililowagusa tunawaona wanakuja mbio kama mbogo lakini ukweli umesemwa na tumeusikia.
 
Hapa yangu macho tu wacha watani wa jadi wenye digirii na wasiokuwa nazo wamwage mchele kwenye kuku wengi.
 
Umenena shoga n' nakusapoti saaana tu,,,,,,,,,, me hata uwe na phd mumeo akija kwangu funga na kuomba!!!!!!!!!!!!!!!! maana nitampatia mahaba na utundu wangu huu haaaaaa!!!!!!!! lazima akuone kinyago na hicho ki digrii.

Maneno yote ukute msoma gazeti
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom