Hahahahahahaha Malaria Sugu!!

Hahahahahahaha Malaria Sugu!!

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106
Kwanza sijui ni mwanamke au Mwanaume?ni moja wa member pasua kichwa sana!na topic zake za kidini humu ndani,nimechunguza kitu kimoja toka kwake ni moja wa medber ambao awapendwi hata kuonwa humu ndani na yeye anajua icho kitu kuwa anatia kichefu chefu cha moyo paka basi,mimi cwezi kumenda wala kumchukia coz ataniumiza kichwa tu,ila kaka au dada Ms big up kwa kuwasumbua vichwa humu Jf,Mia,Mx
 
Umejuaje kama anawaumiza watu vichwa?Inadhihirisha wazi kuwa wewe ndiye unayeumia kichwa na Malaria Sugu.
 
Mpaka umwanzishie thread either anakusumbua au umemzimia.
 
malaria sugu is bisexual..shemale,whatever the name is
 
ameisha makali siku hizi halfu MS ni mke wa mtu. kaka
 
Umekuwa msemaji wa member wa JF wewe???

Anakuumiza wewe peke yako
 
Wewe si malaria sugu?
Usitake sifa hapa
 
Umejuaje kama anawaumiza watu vichwa?Inadhihirisha wazi kuwa wewe ndiye unayeumia kichwa na Malaria Sugu.
nimejua coz nime mpeleleza ndo maana nimesema kwani ww uwoni?Mx
 
Back
Top Bottom