LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,388
kwanini?
Ina maana haujui?
Ama unatuvunga tu?
Haujui tuna hasara kwa ID kama ya kwakoo?
kwanini?
Huu ni upupu mtupu unaendelea halfu watu kama mwanzisha Thread ni mzigo humu JF, sielewi jamaa anacho andika, halfu dizaini huyu kichwani hazimtoshi bado ana ushamba fulani, mimi namnyaka vizuri sana hapa Zanzibar.....
Shule Muhimi Mkuu