Wewe si malaria sugu?
Usitake sifa hapa
mbona povu linakutoka kaka,nimekukwaza eee?basi kanywe maji hasira zipunguwe,Mx
hahah! Umemshushua yamemshuka!!wewe si malaria sugu?usitake sifa hapa
hata mimi naona kama ni mwanaumd nataka kum'babu sea..kama mtt wakike nitamuweka ndani,Mx
Hakika!
Dazipozi= Malaria Sugu!
wewe ni noma umetisha,Mx
sijui,Mx
kichaa kimekuanza?Mx