Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Maji yakakataa kuzima moto.Moto ukakataa.
Baba yake akasema kwa maji.....
umenikumbusha mbali sana ,elimu enzi ya mwalimu
imenikumbusha mazungumzo baada ya habari Radio Tanzani DSM miaka hiyooooo ya chama kimoja, redio moja nchi moja
maskini watoto wetu siku hizi wanafundishwa kiduku
tukumbushe mzeeKuna ile hadidhi ya LUCI NA DAMASI sijui kama pia mnaikumbuka?
Maji yakakataa kuzima moto.
Baba yake akasema kwa mbuzi, waweza kuyanywa maji .....
Mbuzi akakataa!
Baba akaenda kwa Sultani.
Akamwambia, Waweza kumla mbuzi?
Sultani akabubali.
Akamla Mbuzi,
Mbuzi baada ya kuliwa akayanywa maji!
Maji baada ya kunywewa yakazima moto,
Moto baada ya kuzimwa ukachoma fimbo!
and the story goes!