Hackers wafanya yao website ya UDSM

Kwann asihack crdb au nmb au BOT afute mafile yote ya madeni
 
Utamaduni wa hacking ni kuhack kila mtu, kuanzia bosi wako, colleagues, mpaka boyfriend/girlfriend wako. Sasa watajifunzia wapi kama sio kwenye site zetu? Unajifunza hacking then unatest mitambo.
au wako field/masomo kwa vitendo mkuu!!!
 
Sasa km mmeweza kuungana na kuhack website ya chuo na hamna uwezo wa kuungana na kuanzisha kakampuni mchwara. Elimu imewasaidia nn
 
Sasa si wajiajiri kwa kuhack mifumo ya malipo ya kielectronic kama mwanafunzi wa higher learning institution moja hapa bongo alivyowahi fanya
 
Wanategemea kuajiriwa kwa hack Web ya Collage [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sisi wa UDOM tushajiajiri
Kama wewe ni first year unapokuja kuripoti pale UDOM siku ya Jumamosi Usikose kupata T-shirt yako ya UDOM - BOY(UB) na UDOM - G(UG)
.... NDIO HIVYO YANII KUJIAJIRI
 

Attachments

  • FB_IMG_1509046909624-1.jpg
    50.5 KB · Views: 93
  • FB_IMG_1509046942700-1.jpg
    58.8 KB · Views: 82
  • FB_IMG_1509047045897-1.jpg
    52.8 KB · Views: 83
  • FB_IMG_1509046923294-1.jpg
    36.5 KB · Views: 84
  • FB_IMG_1509046890860-1.jpg
    84.6 KB · Views: 73
Kama ni ma IT kwel na wanavyeti nawapataje? Waje niwape ajira waache mambo ya kihuni hayo
 
Bill Gates, Steve Jobs, Mark Zuckerberg, Michael Dell na wengine wengi waliosomea IT hawakutafuta ajira lakini walianzisha makampuni ambayo sasa hivi yamekuwa ya kimataifa. Hakuna taaluma yenye fursa nyingi ya kuanzisha biashara kama IT. Lakini watu wanaosoma IT hapa Tanzania wote wanataka waajiriwe. Kuna tatizo kwenye mfumo wetu wa elimu.
 
It is not so easy kama mnavyosema hasa hapa tz.
Siyo rahisi kihivyo nenda BUNI uone vijaba wanavyotengeneza vitu lakini vinakosa support.
Raisi anataka wana IT toka Rwanda waje kusaidia hapa wakati kuna vijana wengi wako vizuri tu.
 
They are not even professionals, using Php Object Injection it just nonsense. Wakae kwa darasa upya.
 
sasa hawa jamaa si wangehack system za ajira wajiweke humo,bila kujulikana
kuliko wanachokifanya wakigundulika wapo matatani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…