Hackers wafanya yao website ya UDSM

Hackers wafanya yao website ya UDSM

Naona walihitimu kihalali na wanasifa za kuajiriwa, kama ni interview mmepita vijana
 
Safi sana . Hawa vijana ndiyo wanafaa ila nawashauri kuhack website siyo suluhu ya kupata ajira cha muhimu.
Watengeneze virus (inayokula device yyte ile) na antivirus , program za kuflash simu, ya kuunlock simu yyte na modem, program ya kutafuta devices yyte n.k
watapiga hela za kutosha. Hii ya kuhack website wanajiweka ktk wakati mgumu hasa wakikamatwa wataozea jela,
Kwa kuongezea tu km watahack website, wahakikishe wameizima kbsa hewani au mwenye website hashindwe kuupload kitu chochote na hii itasaidia kuwapa pesa kwa njia ya kutatua tatizo na siyo wanavyofanya. Kupata pesa siyo mpaka uajiriwe
Wakitengeze program ya kuondoa ICLOUD na BIOS PASSWORD watapiga hela sana.
 
Kahack crdb upate pesa..... unahack karatasi ndio nin sasa..... kwanza hadumu hata kwa masaa wanamfurusha.
 
Uzalendo ni kumpa fisadi uwenyekiti wa bunge.
Imenibidi nirudi kuangalia taarifa imeweka kwenye jukwaa gani nikakuta ni jukwaa la Technology sasa sijui huyo mwenyekiti wa Bunge amekujaje hapa au ndo kulala, kuamka, kula asubuhi mchana jioni ni siasa tu!!!!!
 
Hii ndo TZ, wakati North Korea wataalamu wao wanafikilia kuidukua SK,US na baadhi ya makampuni UK, wataalamu wetu wanaanza kuidukua nchi yao ha ha haaa!! uzalendo wako uko wapi kwa nchi yako!!!!
Bora sa kama kazi hawana,watadukuaje makampuni makubwa wakati mtaji (hela ya kula)wa kufanya hivyo hawana
 
Wafuate nyayo za wazee wa ransomware kama wanataka pesa. Hapo hakuna hackers bali kuna script kids. Hacker hawezi lalamikia ajira, na hakuna real hacker mwenye shida ya ajira.
 
Huyu Hacker ni beginner, na alafu anastress ya kufeli mtihani wakati anajua jua.
 
Hii ndo TZ, wakati North Korea wataalamu wao wanafikilia kuidukua SK,US na baadhi ya makampuni UK, wataalamu wetu wanaanza kuidukua nchi yao ha ha haaa!! uzalendo wako uko wapi kwa nchi yako!!!!
Utamaduni wa hacking ni kuhack kila mtu, kuanzia bosi wako, colleagues, mpaka boyfriend/girlfriend wako. Sasa watajifunzia wapi kama sio kwenye site zetu? Unajifunza hacking then unatest mitambo.
 
Back
Top Bottom