Us**ng**, kwani wapi walijaza mkataba wa kuajiriwa mara wamalizapo elimu zao? Au sheria ipi iliwalazimisha kwamba ni lazima wapate elimu ya juu? That's mindless. Wao wata-hack kushinikiza waajiriwe, halafu madaktari wahitimu wafanyaje, watuue huko wanakojitolea? Lawyers na wengine wageuke matapeli?
Ila kwa upande mwingine japo serikali na taasisi binafsi haziwezi kuajiri wote wenye sifa bado zi a JUKUMU la kutengeneza nafasi za ajira kwa vijana wote wanaoingia kwenye soko la ajira na sio kutengeneza fursa kwa UVCCM pekee. Hilo ni jukumu la serikali zote duniani, haisaidii kukaa kudanganya watu tu na hoja za kipuuzi eti uchumi unakua na kodi inakisanywa nyingo huku tukisahau sio enzi za TANU hizi. Vijana wamesoma wanafahamu kila kitu. Unemployment ni BOMU. HALI NI MBAYA ZAIDI AWAMU HII. Serikalini hakuna ajira, sekta binafsi IMEDUMAA na bado inazidi kwenda chini.