CaptainDunga
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 1,589
- 1,398
hackers kutoka Tanzania waingilia tovoti ya universtiy of dar es salaam kitengo cha aquatic
wanadai serikali inawasomesha lakini ajira wanapeana kindugu na zoezi hili ni endelevu
aquatic.udsm.ac.tz
Uzalendo ni mkurugenzi wa TAKUKURU kumgombeza na kumtisha raiya aliyeleta taarifa ya rushwa inayotolewa na DC.Hii ndo TZ, wakati North Korea wataalamu wao wanafikilia kuidukua SK,US na baadhi ya makampuni UK, wataalamu wetu wanaanza kuidukua nchi yao ha ha haaa!! uzalendo wako uko wapi kwa nchi yako!!!!
Mimi nakupa elimu, sikulazimishi kuelewa.You better understand that they have just dialed a wake-up call.
To me that is ethical.
They could hit where it hurts the most.
hahahaha umenikumbusha mbali sana kuna jamaa huko mbele alihack sytem za ajira halafu akajiandikia barua ya kuitwa kazini bila interview wala niniKwa nini wasiwe wanahack system za waajiri au lists za waliosailiwa wapenyeze majina yao huko...
Ingia humu utajikuta mweupeeee uanze alifu kwa kijiti.Mimi nakupa elimu, sikulazimishi kuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, watu mna stress kubwa sana za ajira aiseeeuzalendo mavi yakoooo umewahi kusoma ukakaa njee ya ajiraa
Nani kakudanganya kuwa software zinanunuliwa huko play store asilimia kubwa wanaziibaWapuuzi,,mnahack chuo?wenzenu wana hack technologies na kuziuza,,,kweli ndio maana hamwezi kuajirika, tengenezeni software mweke kwa android halafu mwone kama hazitanunulika. Software za misimu ya mazao,,,masoko ya kilimo,,,, matibabu. Tena ziwe za kiswahili sanifu.
Wachukue vitu vya magogoni kuwakomesha..! Vuruga TRA na Mabenk alafu wanaenda kutengeneza wenyewe ajira hiyooWanahack college
uwezo wanao iyo imedhrisha watu wa I.T wa udsm wana uwezo mdogo hadi website yao imehackiwa cha umuhimu hao vijana wapewe ajira haraka
That is a crime against the state mkuu...kesi yake ni uhujumu uchumi..watch outWachukue vitu vya magogoni kuwakomesha..! Vuruga TRA na Mabenk alafu wanaenda kutengeneza wenyewe ajira hiyoo
Nakukubali sana,uko vizuri.What do you mean? There is nothing ethical about that hack. Ethical hacking means getting permission from a client to test his/her systems by trying to penetrate(intrude) them. Ethical hacking is white hat hacking, what has happened is black hat (malicious).
So don't use that term in a manner you have done, you will be confusing people. I guess you meant it should be a 'harmless' hack. Harmless in a sense that no information should be stolen, deleted, modified or copied.