Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Status
Not open for further replies.
Acheni kuumizana kwa sababu ya siasa. Kama kweli lengo lenu ni kujenga nchi kwanini mmumizane ilhali nyinyi wote ni wananchi? Huyo mwananchi manayetaka kuboresha maisha yake ni yupi, akam wenyewe kwa wenyewe mnafianyiana roho mbaya hivi?

n...ko .z ..ko naogopa ban! naipenda Jf 2015 haiko mbali
 
huyu alikuwa pale corner bar aka ambiance ... matokeo ya kupiga drink bila kuwa na chapaa
 
Na bado, laana ya kutaka kuvuruga mfumo mzima wa ukombozi wa pili wa nchi yetu!!!
Na ......ah basi bwana, vijana wamefanya makosa makubwa sana hawa!
 
WanaJf,
Hizi sarakasi za akina Molemo na kundi lake lote dhidi yangu ni mwendelezo tu wa Kutafuta maneno ya faraja.

Mme sikia kuwa mimi mwanzilishi wa chauma,Mmesikia mengi yanayohusu mimi yakutungwa.

Subirini kusikia
Mchange ameiba Gari,
Mchange ameiba mke wa mtu,
Mchange ni konda wa daladala
Mchange yupo jela
Mchange amekufa.

THE TRUTH NEVER DIE...

KWA MAWASILIANO ZAIDI
0658178678
0762178678


sijaiba kabisa mm nipo kibaha,wanasiasa wa bongo hao

Kama unatumia IDs zaidi ya moja usiwe msahaulifu bro,watu wanafatilia mpaka mfanano wa nukta
 
Sasa huyu Molemo ni mkurugenzi wa CHADEMA lakini anadanganya na kujitia aibu mpaka anapigwa ban kwa uongo. Mtu kama huyu amepata vipi ukurugenzi CHADEMA?
 
Wamchome moto kama vibaka wengine. Laana inamtafuna sana huyo.
 
Mchange alosto choka mbaya...waliokuwa Masalia wanakiri kuwa Ben saanane ndiye alikuwa anawalipia bili ya misosi, Magamba waliwaahidi kuwasaidia mwisho wake wakagundua kuwa uwezo wao ni some bit n kb kadhaa hivyo hawana msaada kwani walikuwa wanamtegemea Ben supercomputer lenye ma-terrabite kibao ili awafanikishia malengo yao...bahati mbaya sana password ya kuingilia kwa Ben Saanane ni "UkweliHakiUzalendoMaslahiyaTaifaMbele" ...magamba ina act kama virus!!!
 
Aliyewahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Habib Mchange anashikiliwa na kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama kwa tuhuma za wizi wa Simu.

Habib Mchange alikamatwa jana usiku na mpaka leo asubuhi alikuwa bado hajapata dhamana. Huku mahojiano yakiwa yanaendelea kituoni hapo.

Habib Mchange alifukuzwa Uanachama wa Bavicha mapema mwezi huu kwa utovu wa nidhamu na usaliti dhidi ya Chadema ambapo mbali na kufukuzwa Bavicha alipoteza pia uanachama wa Chadema kikatiba.

Source: Mimi Mweyewe-Molemo.

Updates....

Habib Mchange amepata dhamana jioni hii.Amedhaminiwa na Kaka yake na Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Chadema.Mdhamini huyo amefahamika kwa jina la Salum.

Yule ndugu yake na Zitto ambaye huwa anasingiziwa kuwa yale magari ya Zitto ni yake anaitwa nani?? Just curious.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom