Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Status
Not open for further replies.
Mkuu MsemajiUkweli
Ukiongozwa na mtu ambaye siasa zake zimejengwa kwa misingi ya uongo na unafiki ni wazi hata washabiki watafuata misingi hiyohiyo hakuna la kushangaza kwa vijana wa Chadema nao kujikita kwenye misingi hiyo wanamfuata Baba Paroka!

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz

Majungu@work.
 
Last edited by a moderator:
Majungu@work.

Mkuu Shardcole

Naona magamba wanarukaruka sarakasi hapa kujaribu kuwatetea Masalia,ila kinachonishangaza jitihada hizi wanazifanya wamejificha nyuma ya keyboard,sikuona hata mmoja kwenda kumtolea dhamana pale mabatini mpaka kibaka kalala lupango!
 
Last edited by a moderator:
Kuna faida gani kuomba radhi kwenye kundi la wanafiki? Na aombe kwa kosa lipi?

Chama
Gongo la mboto DSM

mm siamini kuwa watu wote ndani ya chama wanamchukia/wanafiki, la msingi yeye angekata rufaa ili suala lake lifikiriwe upya. mm nakuambia kwasababu aliwasumbua sana ccm katika uchaguzi ili awe salama ni busara arudi kwenye chama. huu ni ushauri tu una hiari ya kuamua cha kufanya
 
Nitajie huyo mmoja unayemuona ataisikiliza rufaa ya Juliana Shonza kwa uaminifu na ukweli

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Molemo, mkuu wangu kwenye huu uzi umejivunjia sana.

mkuu mimi ni pro chadema.lakini kwenye uzi huu kama si kweli,basi naona tumeanza kulewa sifa za kijinga.si ungwana wala ustaarabu kuanzisha uzi kama huu,hata kama unamchukia mtu kiasi gani.mkuu malemo jaribu kucheza na brain sometimes.naungana na mkuu ritz kuku notify kwamba kwenye huu uzi umechemsha sana tu.
 
Last edited by a moderator:
my web, Mchange ha ha ha haaaaa! Shit where is my fon, we mama . . . . Simu yangu iko wapi . . . . .
 
Last edited by a moderator:
Mkuu alikula ban kwa ajiri ya kupost uzi huu au kuna sababu nyingine. Au aliwatuhumu Mods kama Mtoboasiri alivyopost hapo kwenye post #247 ya uzi huu ?

Tungojee huenda kuna mod atakuja kutueleza sababu ya Molemo kula ban. Maana kama thread ni ya uongo ingefutwa na tukaambiwa hivyo. Lakini mtuhumiwa mwenyewe kaja hapa bila ya kukanusha kinagaubaga kuwa si kweli alitiwa "mboroni" (bado naikumbuka heading inayomuhusu yule mwanajeshi aliepiga picha na Mh Lema) na baadae kuachiwa kwa dhamana zaidi ya kutuambia "wananizushia mimi nipo Kibaha" as if mtu ukiachiwa kwa dhamana huruhusiwi kuwa Kibaha.
 
"If you don't know where you are going, any road will get you there-nowhere” - By Masopakyindi
 
Tungojee huenda kuna mod atakuja kutueleza sababu ya Molemo kula ban. Maana kama thread ni ya uongo ingefutwa na tukaambiwa hivyo. Lakini mtuhumiwa mwenyewe kaja hapa bila ya kukanusha kinagaubaga kuwa si kweli alitiwa "mboroni" (bado naikumbuka heading inayomuhusu yule mwanajeshi aliepiga picha na Mh Lema) na baadae kuachiwa kwa dhamana zaidi ya kutuambia "wananizushia mimi nipo Kibaha" as if mtu ukiachiwa kwa dhamana huruhusiwi kuwa Kibaha.

Halafu cha ajabu Thread ilipostiwa mapema mchana yeye anajitetea saa 12.jioni.
 
Tungojee huenda kuna mod atakuja kutueleza sababu ya Molemo kula ban.........

Nadhani mkuu wa ma'moderators' au ikibidi hata hao maJF founders watueleze inapotokea kwa uthibitisho usio na shaka 'mod' amempiga 'ban' kwa makosa JF member ama kwa kudhamilia au bila kukusudia. Je. Mod huyo uchukuliwa hatua gani? Maana nimepitia sheria za JF haraka haraka bila kuona kifungu kinachofafanua juu ya hili.

cc: Invisible
 
Halafu cha ajabu Thread ilipostiwa mapema mchana yeye anajitetea saa 12.jioni.

Wakati thread inaanzishwa, Salum ndugu yake na nani alikua hajafika bado kituoni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom