Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Status
Not open for further replies.
Aliyewahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Habib Mchange anashikiliwa na kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama kwa tuhuma za wizi wa Simu.

Habib Mchange alikamatwa jana usiku na mpaka leo asubuhi alikuwa bado hajapata dhamana. Huku mahojiano yakiwa yanaendelea kituoni hapo.

Habib Mchange alifukuzwa Uanachama wa Bavicha mapema mwezi huu kwa utovu wa nidhamu na usaliti dhidi ya Chadema ambapo mbali na kufukuzwa Bavicha alipoteza pia uanachama wa Chadema kikatiba.

Source: Mimi Mweyewe-Molemo.

this is serious accusation ,dhambi ya usaliti ni mbaya sana.............things fall apart hii.
 
DEDICATION HIII;

SIFA YA MOYO TAMAA,MOYO SIFA YAKE KUTAMAANI,TAMAA YA MOYO INAWEZA KUKUWEKA MASHAKAANII,UNATAMANI SIMU WAKATI HUNA KITU MFUUKONII,UNAMUOMBA KABWELA ANASEMA TWENDE HOME TUKAAAGEE..!!

KAMANDA CHUNGA TAMAA MBAYA,CHUNGA TAMAA MBAAYA...!!

LOL,,:banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease:
 
so msela anajisaidia kwenye debe? hebu muoneeni huruma wadau mliko dar mkamuwekee dhamana... siasa sio ugomvi.... tena ingeleta raha kamili kama Ben saa8 angeenda kufanya hiyo makitu
 
Aliyewahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Habib Mchange anashikiliwa na kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama kwa tuhuma za wizi wa Simu.

Habib Mchange alikamatwa jana usiku na mpaka leo asubuhi alikuwa bado hajapata dhamana. Huku mahojiano yakiwa yanaendelea kituoni hapo.

Habib Mchange alifukuzwa Uanachama wa Bavicha mapema mwezi huu kwa utovu wa nidhamu na usaliti dhidi ya Chadema ambapo mbali na kufukuzwa Bavicha alipoteza pia uanachama wa Chadema kikatiba.

Source: Mimi Mweyewe-Molemo.

WanaJf,
Hizi sarakasi za akina Molemo na kundi lake lote dhidi yangu ni mwendelezo tu wa Kutafuta maneno ya faraja.

Mme sikia kuwa mimi mwanzilishi wa chauma,Mmesikia mengi yanayohusu mimi yakutungwa.

Subirini kusikia
Mchange ameiba Gari,
Mchange ameiba mke wa mtu,
Mchange ni konda wa daladala
Mchange yupo jela
Mchange amekufa.

THE TRUTH NEVER DIE...

KWA MAWASILIANO ZAIDI
0658178678
0762178678
 
Acha kujitetea umetoka kwa dhamana lakini tunachojua umekwapua simu kinachofuata ni kukwapua hereni na pete za wakina mama. hii ni wiki tuu tokea umekuzwa umeshakuwa kibaka ukimaliza mwaka si utakuwa teja?
 
WanaJf,
Hizi sarakasi za akina Molemo na kundi lake lote dhidi yangu ni mwendelezo tu wa Kutafuta maneno ya faraja.

Mme sikia kuwa mimi mwanzilishi wa chauma,Mmesikia mengi yanayohusu mimi yakutungwa.

Subirini kusikia
Mchange ameiba Gari,
Mchange ameiba mke wa mtu,
Mchange ni konda wa daladala
Mchange yupo jela
Mchange amekufa.

THE TRUTH NEVER DIE...

KWA MAWASILIANO ZAIDI
0658178678
0762178678

Nani akupigie? msomi mzima unaline mbili?
 
Nani amekuwekea Bond mkuu mdudee

Mawasiliano ya nini na wewe msaliti? Ndio maana ulikuwa unakwapua simu iliuweke hizo line zako
ambazo ni 0658178678 0762178678 siku nyingine tunakuchoma moto
 
Msomi wapi huyu mpuuzi mwambie akupupe CV yake hapa utumbo mtupu cjui hata chadema walilogwa na nani kumpa uanachama huyu mtu hastahili kuwa mwanasiasa

thamahani, kumbe hamna kitu?? mi nilidhani ni nguvu ya pesa imemzidia tu
 
Bila shaka akipata mdhamini atakuja kufungua uzi hapa wa kukana kushikiliwa na hatasema kuna watu wanataka kumchafua!

Kilimo ni bora kuliko wizi!
 
wanajf,
hizi sarakasi za akina molemo na kundi lake lote dhidi yangu ni mwendelezo tu wa kutafuta maneno ya faraja.

Mme sikia kuwa mimi mwanzilishi wa chauma,mmesikia mengi yanayohusu mimi yakutungwa.

Subirini kusikia
mchange ameiba gari,
mchange ameiba mke wa mtu,
mchange ni konda wa daladala
mchange yupo jela
mchange amekufa.

The truth never die...

Kwa mawasiliano zaidi
0658178678
0762178678

namba za simu za nini sasa,mara baada ya kupewa zamana na bwana kabwela unataka sasa nikurushie m-pesa au tigo-pesa??
 
Nakupa Onyo kabisa usijaribu kukanyaga CCM na sikia wewe na wapuuzi wenzio mnampango wa kuomba huruma kutoka kwa makada Mafisadi wa CCM ole wenu muendelee kujipendekeza huku CCM. hATUTAKI wapuuzi kama wewe ambao ni mzigo kwa ukuwajiwa democracia nchini na wachumia tumbo. Kuna kundi kubwa la wana CCM wazalendo linafatilia nyendo zunu za kujipendekeza kwa viongozi vilaza na wapuuzi@ Bakieni huko huko chadema

CC
Mr emmy

Back
Top Bottom