last man standing
Member
- Apr 3, 2012
- 79
- 13
Mkuu Molemo siamini sana taarifa hizi kwani Habib Mchange japo tumemfukuza Chama ila tulimuamini mpaka kumpa nafasi ya kugombea Ubunge hivyo viwango alivyokuwa amefikia ndani ya chama naamini sio mtu wa kuiba simu.
Nafikiri japo kuna tofauti ya kimtazamo UTU na THAMANI YA UTU tusiipoteze kwa sababu ya siasa
Haka katabia hakajaanza leo, alishawahi kualiza roomates wake udom laptop, akahamaga na chumba.