Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Kuna mtu anatukana kama wewe
Kwi kwi kwi kwiii! Labda yeye anadhani anachosema si matusi!
Kuna mtu anatukana kama wewe
Mkuu fuatilia sheshe la Juliana na muone mnavyoanikana hadharani.
Naona hueleweki mkuu, line yako inasikika madudu tu.
Labda ungesema, nifuatilie habari za rey c na mkuu. Shonza alikuwa na marehemu ambaye kafufuka na kuwa naibu waziri wa elimu pale mikocheni. Nape anadaiwa cheo cha bShonza vipi? mbona kimya?..Vipi moto wa sekretarieti yetu, imejaa mafisadi.
Labda pia ungenitaka nijiulize Jangiri Kinana atataifishwa meli zake lini?
mkuu mimi ni pro chadema.lakini kwenye uzi huu kama si kweli,basi naona tumeanza kulewa sifa za kijinga.si ungwana wala ustaarabu kuanzisha uzi kama huu,hata kama unamchukia mtu kiasi gani.mkuu malemo jaribu kucheza na brain sometimes.naungana na mkuu ritz kuku notify kwamba kwenye huu uzi umechemsha sana tu.