Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
duuuu jambaz
Ni kweli Mkuu hawa ni Malufu hapa JF ndo wanako tukuzwa, Mtaani hakuna anaye wajua kwanza, Kama huyo Juliana ndo kabisa hakuna anaye mzungumzia wala anaye mjua hata kwa Sura, hao wakina Machange ndo kabisa
Kama jibu hili ungelilileta asubuhi wakati hii thread imeanza, lingekuwa na maana kubwa sana. Lakini saa hizi wakati tayari kuna update kwamba umepata dhamana, inaweza isisaidie sana. labda tu namna nzuri ya kukanusha ni kutuambia ulikamatwa kwa kosa gani? Maana kwa hakika siafiki kwamba uliiba simu. Hiyo haileti maana, lakini tumegee kidogo ni nini kilikutokea? Au kama vipi kanusha kabisa kwamba hukukamatwa kuliko hili jibu la jumla namna hii.WanaJf,
Hizi sarakasi za akina Molemo na kundi lake lote dhidi yangu ni mwendelezo tu wa Kutafuta maneno ya faraja.
Mme sikia kuwa mimi mwanzilishi wa chauma,Mmesikia mengi yanayohusu mimi yakutungwa.
Subirini kusikia
Mchange ameiba Gari,
Mchange ameiba mke wa mtu,
Mchange ni konda wa daladala
Mchange yupo jela
Mchange amekufa.
THE TRUTH NEVER DIE...
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0658178678
0762178678
Mkuu Molemo siamini sana taarifa hizi kwani Habib Mchange japo tumemfukuza Chama ila tulimuamini mpaka kumpa nafasi ya kugombea Ubunge hivyo viwango alivyokuwa amefikia ndani ya chama naamini sio mtu wa kuiba simu.
Nafikiri japo kuna tofauti ya kimtazamo UTU na THAMANI YA UTU tusiipoteze kwa sababu ya siasa
Wabhoti wooote wana msimamo,kasoro WASIRA peke yake.Heche anafahamika na kuthaminika huku kitaa kuliko yeyote ndani ya BAVICHA, yaani kama jana alipokuwa Moshi mara tu alipopanda jukwaani, watu walishangilia mbaya.
Inamaana alikuwa anaishi kwa siasa, sasa maisha yameshamuwia kombo. Ni heri angekwenda kujisalimisha Lumumba kuliko huu ujasiriamali anaouanza sasa.
WanaJf,
Hizi sarakasi za akina Molemo na kundi lake lote dhidi yangu ni mwendelezo tu wa Kutafuta maneno ya faraja.
Mme sikia kuwa mimi mwanzilishi wa chauma,Mmesikia mengi yanayohusu mimi yakutungwa.
Subirini kusikia
Mchange ameiba Gari,
Mchange ameiba mke wa mtu,
Mchange ni konda wa daladala
Mchange yupo jela
Mchange amekufa.
THE TRUTH NEVER DIE...
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0658178678
0762178678
Aliyewahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Habib Mchange anashikiliwa na kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama kwa tuhuma za wizi wa Simu.
Habib Mchange alikamatwa jana usiku na mpaka leo asubuhi alikuwa bado hajapata dhamana. Huku mahojiano yakiwa yanaendelea kituoni hapo.
Habib Mchange alifukuzwa Uanachama wa Bavicha mapema mwezi huu kwa utovu wa nidhamu na usaliti dhidi ya Chadema ambapo mbali na kufukuzwa Bavicha alipoteza pia uanachama wa Chadema kikatiba.
Source: Mimi Mweyewe-Molemo.
Updates....
Habib Mchange amepata dhamana jioni hii.Amedhaminiwa na Kaka yake na Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Chadema.Mdhamini huyo amefahamika kwa jina la Salum.
Mchange njoo ukanushe na hili basi!
WanaJf,
Hizi sarakasi za akina Molemo na kundi lake lote dhidi yangu ni mwendelezo tu wa Kutafuta maneno ya faraja.
Mme sikia kuwa mimi mwanzilishi wa chauma,Mmesikia mengi yanayohusu mimi yakutungwa.
Subirini kusikia
Mchange ameiba Gari,
Mchange ameiba mke wa mtu,
Mchange ni konda wa daladala
Mchange yupo jela
Mchange amekufa.
THE TRUTH NEVER DIE...
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0658178678
0762178678
Bado kumua kama mlivyomfanya wangwe
sijaiba kabisa mm nipo kibaha,wanasiasa wa bongo hao