Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Status
Not open for further replies.
Mkuu Mungi
Mnajihidhirisha ni jinsi gani vijana wa Chadema mlivyo mahodari wa kutunga; hayanishangazi sana washabiki wa post hii ni Ben Saanane na Exaud Mamuya walewale mahodari wa kutunga uongo; kama walivyotunga uongo dhidi ya Juliana Shonza naona naye kamanda Molemo ametunga uongo dhidi ya Mchange hizi siasa za uongo zitawafikisha wapi?

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz

Mkuu,
ni vizuri wakatambua kuwa, kuishi kwa uongo na mauti yatawafika katika uongo.

Ni masikitiko pale vijana wanapotengeneza maisha kwa njia ya uongo na uzandiki kwa kiasi hiki.

Siasa wanazoziendesha zitapita lakini hukumu yake haitowapita.
 
Aliyewahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Habib Mchange anashikiliwa na kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama kwa tuhuma za wizi wa Simu.

Habib Mchange alikamatwa jana usiku na mpaka leo asubuhi alikuwa bado hajapata dhamana. Huku mahojiano yakiwa yanaendelea kituoni hapo.

Habib Mchange alifukuzwa Uanachama wa Bavicha mapema mwezi huu kwa utovu wa nidhamu na usaliti dhidi ya Chadema ambapo mbali na kufukuzwa Bavicha alipoteza pia uanachama wa Chadema kikatiba.

Source: Mimi Mweyewe-Molemo.

Updates....

Habib Mchange amepata dhamana jioni hii.Amedhaminiwa na Kaka yake na Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Chadema.Mdhamini huyo amefahamika kwa jina la Salum.

mwambie aombe radhi arudi kwenye chama ndio atakuwa salama vinginevyo atapata shida mtaani
 
Prezo yupo njia anakwenda kumuwekea dhamana siunajua kafoleni ka Tabata
 
Hilo la ID kumi unaliona la ajabu? si ajabu wewe mwenyewe 3 una tatu hapo ulipo

Chama
Gongo la mboto DSM

sijaelewa mpaka sasa kwaninhj maamuzi ya Chadema yawaume watu wa CCM!
 
Molemo, mkuu wangu kwenye huu uzi umejivunjia sana.
 
Last edited by a moderator:
Molemo, mkuu wangu kwenye huu uzi umejivunjia sana.

Mkuu Ritz
Usimlaumu kamanda Molemo unajua vijana wa Chadema wanaandika vitu kwa kuburuzwa na wakuu wao; hakuwa na uhuru wa kuamua alijua wazi ukweli wa habari yenyewe; ila tatizo alishaambiwa nini cha kufanya; na usisahau yupo kazini; si unajua ndiye mbeba mikoba lazima amfurahishe babu ili angalau kajiposho kiongezeke; wewe ifuatilia kwa makini waropokoji wakubwa kwenye thread nzima utawakuta watu hawa Ben Saanane; Exaud Mamuya; Mwita Maranya na Precise pangolin ni kile kikosi cha fitina pale mtaa wa Togo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
hizi siasa zina hatari sana...ona sasa majitaka kila kona
 
sijaelewa mpaka sasa kwaninhj maamuzi ya Chadema yawaume watu wa CCM!

Hakuna hata mwanaccm mmoja anaumia na maamuzi ya Chadema; zaidi ya kutushangaza kuona wale wale wanaojinadi ni wapigania na watetezi wakubwa wa demokrasia; ndio wafunjaji wakubwa wa demokrasia; ni sawa na kumkuta kiongozi wa dini akihubiri mawaidha ya kupinga na kukata ushoga halafu usikie kiongozi huyo huyo kakutwa na kijana mrembo na mtanashati chumbani; ukiwa kama muumini nina hakika yatakushangaza; mahubiri lazima yaende sambamba na matendo ya mhubiri.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu,
ni vizuri wakatambua kuwa, kuishi kwa uongo na mauti yatawafika katika uongo.

Ni masikitiko pale vijana wanapotengeneza maisha kwa njia ya uongo na uzandiki kwa kiasi hiki.

Siasa wanazoziendesha zitapita lakini hukumu yake haitowapita.

Mkuu MsemajiUkweli
Ukiongozwa na mtu ambaye siasa zake zimejengwa kwa misingi ya uongo na unafiki ni wazi hata washabiki watafuata misingi hiyohiyo hakuna la kushangaza kwa vijana wa Chadema nao kujikita kwenye misingi hiyo wanamfuata Baba Paroka!

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
mwambie aombe radhi arudi kwenye chama ndio atakuwa salama vinginevyo atapata shida mtaani

Kuna faida gani kuomba radhi kwenye kundi la wanafiki? Na aombe kwa kosa lipi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Masalia wenzake wakamuwekee dhamana ila kiongozi wao Prezzo yupo au kasafiri? Waliharibu na wataharibiwa zaidi!! Na kwa hili na mengine kibaha mjini amekufa kisiasa!! 2010 aliamka vizuri sana tena tunaamini walichakachua ila sasa ndiyo basi tena!! Mwenye simu asikubali aende mahakamani kufungua kesi!!
 
Mkuu MsemajiUkweli
Ukiongozwa na mtu ambaye siasa zake zimejengwa kwa misingi ya uongo na unafiki ni wazi hata washabiki watafuata misingi hiyohiyo hakuna la kushangaza kwa vijana wa Chadema nao kujikita kwenye misingi hiyo wanamfuata Baba Paroka!

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz

Nitashangaa kama hawafahamu kama Baba Paroka muda wa kwenye ulingo wa siasa umebaki ni mfupi. Wanadumbukizwa kwenye giza la kifikra. Siasa za Baba Paroka ni za umaarufu wa muda (siasa za matukio).

Sikio la kufa halisikii dawa. Hata kama watapata ushauri hawawezi kuufuata kwa sababu wameishakuwa bastion of Baba Paroka chauvinism
 
Acha majungu w pimbi.
 
hii katuni ina kaujumbe fulani
baavichaa.jpg
 
Mkuu MsemajiUkweli
Ukiongozwa na mtu ambaye siasa zake zimejengwa kwa misingi ya uongo na unafiki ni wazi hata washabiki watafuata misingi hiyohiyo hakuna la kushangaza kwa vijana wa Chadema nao kujikita kwenye misingi hiyo wanamfuata Baba Paroka!

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz

Simba haiwezi kuipa yanga mbinu za ushindi hata siku 1 labda mechi iuzwe.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom