Sina nia ya kuhukumu ila nina hofu ya kumshirikisha Mungu kwenye matukio kama hayaMungu amsaidie apate dhamana!
Sina nia ya kuhukumu ila nina hofu ya kumshirikisha Mungu kwenye matukio kama hayaMungu amsaidie apate dhamana!
I see arudi tu Kibaha kulima mananasi amefikia kukwapua simu
Ana laana ya usaliti, mwache aibu zimfike
Tuna mwamini mleta mada hana kumbukumbu za kuleta mada za uongo...Aliyeleta habari ajitahidi kufafanua huo wizi wa cm? Ilikuwaje na kivip! Tueleze,na mnaochangia bila kuhoji mmekurupuka
Kumbe Chacha Wangwe aliuliwa na Polisi kweli hili jeshi letu halifai kabisa...Bado kumua kama mlivyomfanya wangwe
Ni muda wake wa kujifunza sasa kuwa "Success has many fathers but faure is an ophan"
Acheni kuumizana kwa sababu ya siasa. Kama kweli lengo lenu ni kujenga nchi kwanini mmumizane ilhali nyinyi wote ni wananchi? Huyo mwananchi manayetaka kuboresha maisha yake ni yupi, akam wenyewe kwa wenyewe mnafianyiana roho mbaya hivi?
nyani haoni kundule-Kuna aliyekua anatoa mapovu bungeni kutaka posho iongezwe ifikie laki 5 kwa siku na kuibatiza UJIRA WA MWIHA sasa kumbe povu lote lile ni ili aje adhamini uasi kupitia MASALIA GROUP
-Juzi amewapiga chenga hajatoa hela za press conference.Maskini huu ukwapuaji wa simu ni katika jitihada za kuziba ombwe ili wafanye Press conference kwa kuwa viongozi wao ni mabingwa wa kuwakana na kuwaachia soo wenyewe.
Tuungane kupinga vijana kutumika na wakati huo huo tuwawajibishe na kuwalaani vikali wale wanaotaka kutumia vijana vibaya kwa maslahi yao
Binafsi sikumwelewa alikuwa anataka laki 5 zote za ni kama posho tu kumbe pesa nyine anatumia kulipa makundi yake ya uasi sasa ndiyo natambua kuwa hata laki 5 kwa siku pengine hai toshi kabisa au itategemea na kundi lako lina watu wangapi vinginevyo wataishia gerezani kwa kukwapua simu za watu...-Kuna aliyekua anatoa mapovu bungeni kutaka posho iongezwe ifikie laki 5 kwa siku na kuibatiza UJIRA WA MWIHA sasa kumbe povu lote lile ni ili aje adhamini uasi kupitia MASALIA GROUP
-Juzi amewapiga chenga hajatoa hela za press conference.Maskini huu ukwapuaji wa simu ni katika jitihada za kuziba ombwe ili wafanye Press conference kwa kuwa viongozi wao ni mabingwa wa kuwakana na kuwaachia soo wenyewe.
Tuungane kupinga vijana kutumika na wakati huo huo tuwawajibishe na kuwalaani vikali wale wanaotaka kutumia vijana vibaya kwa maslahi yao
Bado kumua kama mlivyomfanya wangwe
Hajaiba wala nini ni chuki binafsi.labda kategeshewa na kununua simu ya wiziMkuu Molemo siamini sana taarifa hizi kwani Habib Mchange japo tumemfukuza Chama ila tulimuamini mpaka kumpa nafasi ya kugombea Ubunge hivyo viwango alivyokuwa amefikia ndani ya chama naamini sio mtu wa kuiba simu.
Nafikiri japo kuna tofauti ya kimtazamo UTU na THAMANI YA UTU tusiipoteze kwa sababu ya siasa