Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Habib Mchange akamatwa na Polisi...!

Status
Not open for further replies.
Upuuzi siasa za zamani sana za kuweka tuhuma zisizo na kichwa wala miguu. Kutofautiana katika siasa kupo ila hakumfanyi mtu kuibuliwa tuhuma za kijinga
 
Umejisahau unatumia i.d ingine?
Mkuu umeiona hiyo. Ni kichekesho. Hawa masalia vichwa vya panzi kwelikweli. Ndio maana Ben Saanane aliwakamata kama kuku. Rais wa Kenya Mwai Kibaki angemwambia Bure Kabisaaa!!!!!!
 
wezi wa simu wapo wengi hadi mawaziri pia sembuse huyo mburula
 
Sasa huyu Molemo ni mkurugenzi wa CHADEMA lakini anadanganya na kujitia aibu mpaka anapigwa ban kwa uongo. Mtu kama huyu amepata vipi ukurugenzi CHADEMA?

Tatizo ni pale watu mnapoaminishwa uongo kuwa MOlemo ni Mrema nanyi bila hata ya kufanya uchunguzi mnamhukumu Mrema ambaye hahusiki hata chembe , hivyo fanyeni utafiti wenu kwanza kabla ya kuhukumu watu .

Moods ningewashauri ili kuondoa tuhuma kwa mtu ambaye hahusiki fungieni molemo for life ili kuondoa mkanganyiko huu uliopo na unawasababishia wengine maadui na hata usumbufu usiokuwa na ulazima wowote ule , please its just an advice.
 
Mkuu Ritz
Naona makamanda wanavyohangaika kumzushia mwenzao mabalaa nashangaa sana na mtoa habari hii ni mwandishi mzuri sana ila anachagua cha kuandika kama ni wizi angetuwekea na ile kesi ya slaa kuishi mke wa mtu bado ipo mahakamni atufahamishe kilio cha Rose Kamili.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kumbe dogo alikuwa hana ajira! heeeeee sasa PM7 nayo imesambaratika dah

Mkuu Mungi
Mnajihidhirisha ni jinsi gani vijana wa Chadema mlivyo mahodari wa kutunga; hayanishangazi sana washabiki wa post hii ni Ben Saanane na Exaud Mamuya walewale mahodari wa kutunga uongo; kama walivyotunga uongo dhidi ya Juliana Shonza naona naye kamanda Molemo ametunga uongo dhidi ya Mchange hizi siasa za uongo zitawafikisha wapi?

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz
 
Last edited by a moderator:
dah...simu??? halafu unaweza ukakuta hata ni Nckia ya tochi, shs 24k. Njaa ni noma aisee!
 
Hilo la ID kumi unaliona la ajabu? si ajabu wewe mwenyewe 3 una tatu hapo ulipo

Chama
Gongo la mboto DSM
Mimi siishi maisha ya Digidigi ka wewe bana!...iam always sure of what i talk about!
 
Halafu katika hali kama hii unajiuliza hivi kweli hawa vijana wanatoa somo gani kwa Watanzania wote>!! je wanatosha kuwa viongozi jibu ni rahisi HAPANA
 
Mkuu Ritz
Naona makamanda wanavyohangaika kumzushia mwenzao mabalaa nashangaa sana na mtoa habari hii ni mwandishi mzuri sana ila anachagua cha kuandika kama ni wizi angetuwekea na ile kesi ya slaa kuishi mke wa mtu bado ipo mahakamni atufahamishe kilio cha Rose Kamili.

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,

Ni jambo la ajabu sana wanafanya hawa makamanda wamemzushia mwenzao kesi ya kijinga kisa hawapatani.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni pale watu mnapoaminishwa uongo kuwa MOlemo ni Mrema nanyi bila hata ya kufanya uchunguzi mnamhukumu Mrema ambaye hahusiki hata chembe , hivyo fanyeni utafiti wenu kwanza kabla ya kuhukumu watu .

Moods ningewashauri ili kuondoa tuhuma kwa mtu ambaye hahusiki fungieni molemo for life ili kuondoa mkanganyiko huu uliopo na unawasababishia wengine maadui na hata usumbufu usiokuwa na ulazima wowote ule , please its just an advice.

Wapi nimesema ni Mrema?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom