Habari Njema...

May 23, 2008
10
0
Habari!

Je! ungependa kubadilisha Kipato chako?
Je ungependa kuwa Majasiriamali?
Kama jibu lako ni ndio na umedhamilia tuma msg kwenye namba hii:-0787 464 424 ukiandika jina kamili utasaidiwa kutimiza mawazo (ndoto) yako.

Asante
 
Last edited by a moderator:

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,943
4,391
Sasa ukisha tuma nn kitatokea kama unataka kutoa shule kuhusu huo ujasilia mari si ungeweka humu watu wakachangia na kuelekezana?
 
Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,076
7,799
Sasa ukisha tuma nn kitatokea kama unataka kutoa shule kuhusu huo ujasilia mari si ungeweka humu watu wakachangia na kuelekezana?
:) Beware people! Kwanini huyu Mwanaharakati asitupe hizo mbinu zake hapa bila kulazimisha watu kuliwa salio kwenye simu zao na watu tukanufaika sote?

I still believe everything MUST be free of charge in this world.

Poor me!
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,005
7,180

Tafadhali fafanua.
 
Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
2,257
344
Unamtega nani humu? au ndio umetumwa? Kwani kuna siri gani kwenye ujasirimali hadi ushindwe kuanika mambo hapa?
 
Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,076
7,799
Tafadhali fafanua.
I knew it... I mean "I believe none owns the internet,,, everything thru internet MUST be free of charge".

Kwa maana hiyo basi, huyu mwenzetu kama kafikia kuandika kuwa yeye ana deal basi alianike tu BURE. Cost ya kuwa na internet nyumbani ama kazini kwa mmojawapo wa wadau ni kubwa si kuwaongezea zile za kutuma sms ama kupiga simu... Got me m8?
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,005
7,180
I knew it... I mean "I believe none owns the internet,,, everything thru internet MUST be free of charge".

Kwa maana hiyo basi, huyu mwenzetu kama kafikia kuandika kuwa yeye ana deal basi alianike tu BURE. Cost ya kuwa na internet nyumbani ama kazini kwa mmojawapo wa wadau ni kubwa si kuwaongezea zile za kutuma sms ama kupiga simu... Got me m8?

Asante, nimekuelewa na nakuunga mkono.
 
Kuntakinte

JF-Expert Member
May 26, 2007
702
25
Tafadhali fafanua.

Hamna haja ya kufafanua, yeye inamaana hajui nini maaana ya JF! Ina maana haoni tunavyokula shule za kina Steve D, Shy, Lazydog etc.Habari!

Je! ungependa kubadilisha Kipato chako?
Je ungependa kuwa Majasiriamali?
Kama jibu lako ni ndio na umedhamilia tuma msg kwenye namba hii:-0787 464 424 ukiandika jina kamili utasaidiwa kutimiza mawazo (ndoto) yako.

Asante

Mkuu kweli tunapenda sana hiyo shule lakini kwanini usiiweke Hadharani humu kila mlalahoi wa JF akajumuika kuliko kuipeleka kimafungu mafungu.
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,943
4,391
Hapa inabidi kuwa makini unasema tuma sms kama unataka kuwa mjasiria sasa wakuu hamwoni hapo kuna kitu hapo lazima atakuwa katumwa la sivyo atakuwa usalama wa taifa[UWT] huyu si bure...kama ana nia njema si aanike hapa watu watoe maelekezo hapa unaweza ukaona yeye kuna baadhi ya vitu haijui watu wakamsaidia ndani humu kuna watu wana fani nyingi..
Kama anania ya kupata namba za wana JF basi kala wa chuya hampati mtu humu..
 
Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
209
Hili Tangazo Lina Utata Mkubwa Na Mwenye Kuanzisha Mada Hiyo Pia Ameweka Katika Forum Nyingine Ya Wanazuoni Inaonyesha Anataka Kutafuta Namba Za Watu Na Taarifa Zingine

Na Kama Ni Bahati Nasibu Lazima Ingekuwa Na Masharti
 
May 23, 2008
10
0
Unafikiri mimi nataka utumie shortcuts?

Annastazia kama upo online naomba unisaidie course wewe ni mmoja wa watu waliopiga hatua kubwa.

Jamani hii business sio ya uhuni ni real business na inatambulika dunia nzima.

MLM naomba yoyote atakaye penda namkaribisha Quarity Plaza siku ya jumamosi saa nne asubuhi akishinda muda huu basi kuna nafasi nyingine saa tisa njoo usikirize uamue mwenyewe. Haina kifungo hii biashara na penda mtambue najua wote ni wasomi mimi sina nia mbaya kuna watu wamefanikiwa wengi sana naomba mje msikirize wenyewe.

Kuomba kwangu majina ni kwasababu napenda kuomba nafasi za VIP kwa wageni wangu lakini naomba mjue nimetumia nafasi hii kuwatumia msg wanazuoni kwa sababu ni nafasi pekee ya kushirikishana mambo ya mafanikio.

Samahani kwa usumbufu.

Waswahili wanasema Mafanikio ya mtu yapo mikononi mwa mtu huwezi juu naweza nikawa mimi nimekutoa kwa kukushirikisha kwenye mafunzo ya siku moja na masaa 2.Mafanikio yoyote hayakufuati wewe ..... unafuta mafanikio.
 
Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
11,276
7,297
Unafikiri mimi nataka utumie shortcuts? .......Kuomba kwangu majina ni kwasababu napenda kuomba nafasi za VIP kwa wageni wangu lakini naomba mjue nimetumia nafasi hii kuwatumia msg wanazuoni kwa sababu ni nafasi pekee ya kushirikishana mambo ya mafanikio.

Samahani kwa usumbufu.

Waswahili wanasema Mafanikio ya mtu yapo mikononi mwa mtu huwezi juu naweza nikawa mimi nimekutoa kwa kukushirikisha kwenye mafunzo ya siku moja na masaa 2.Mafanikio yoyote hayakufuati wewe ..... unafuta mafanikio.

Should we believe you???????
 
Single D

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
457
13
Mi nilidhani mikutano ya dini au matangazo ya ma sangoma maana ndo huwa yanakuwa na maneno aina hiyo ya kuvuta watu."habari njema toka sumbawanga,mganga wa jadi anatibu maradhi ya ukimwi,kuondoa mkosi,nguvu za kiume n.k Kwa nini usitangaze gazetini au redioni au luninga utaeleweka?
 
Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,762
805
andika hapa cha maana tutakachojadili huko quality plaza, unaweza kuwa umetumwa wewe? unashindwa kutoa hata detail za hiyo biashara? ni madawa ya kulevyaaa? au ni yale mamchezo yenu ya kitapeli ya dola jet ua elimika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom