habari natafuta mtu ambaye yupo tayari kukodisha laptop kwa mwezi

kaka9

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
280
113
habari wadau
natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo
kubaliana ,ambaye yuko tayari anicheki kwa namba yangu 0687234549 asanteni.
note:laptop iwe na ram 4 na processor 2 kuendelea,yani iwe na speed ya kuridhisha kidogo.
 
Laptop ipo nipo,napatikana Tunduma.
 
habari wadau
natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo
kubaliana ,ambaye yuko tayari anicheki kwa namba yangu 0687234549 asanteni.
note:laptop iwe na ram 4 na processor 2 kuendelea,yani iwe na speed ya kuridhisha kidogo.
Mm ninayo hp envy, i5, 6RAM ,1TB, touchscreen
 
Back
Top Bottom