Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

safi sana hii ndo namna ya kuwatia discipline wapuuzi kama hawa wanaotumiwa na wanasiasa kama chambo..tena nina uhakika katika maandamano yote hawakuwepo vijana wasomi..wenye uwezo wa kupinga ama kuunga mkono jambo fulani kwa hoja sio nguvu....
 
haki ingekuwepo ndugu zetu wa arusha wenye kiu ya uhuru wa kweli na demokrasia makini wasingejeruhiwa na kuuliwa.....serekali hii inafanya watu tushindwe kujivunia utanzania.
 
police_brutality_1.jpg

tujifunze maandmano sio mazuri kwa Tanzania
cdm wasingeandman haya yasingetokea
Utakuwa mtoto wa FISADI umechukua chako mapema
 
Kwa taarifa za haraka haraka most of the word prominent medias as BBC and CNN pia hata ABC as broadcasters wameshaharibu kabisa mambo kwa sababu tu ya hilo seleka la police Arusha.

I have been receiving travel councelations from my potential customers, nami pia ilikuwa nishuke huko sitakuja kwani lengo lilikuwa kuwaleta wageni mwezi wa sita hata familia imekataa kuja huko jehanamu. Just b'es of ****** leaders.

Naombeni hedex jamani.
 
Kwa yale yaliyotokea Arusha na hali ya kutotii mamlaka za sheria zilizowekwa. Hii yaonyesha kabisa kuwa haki hivi sasa mahala pake pa kupatikana si mahakamani tena bali ni kwa njia ya maandamano na kufanya fujo. Kama sababu ya maandamano yale kama ilivyoelezwa na F. Mbowe kuwa ni kuhusu uchaguzi wa meya wa arusha, haina msingi, kwani wangeenda mahakamani ndipo haki ingepatikana sio kupoteza roho za watu ambao hawana hatia bure.

CHADEMA wamedharau umma wa watanzania na kukaidi kuiamini mahakama ndio yenye kutoa haki.
 
Amka babu jinga malizako zaliwa na CHI CHI M......

ALIYE KWAMBIA TZ KUNA MAHAKAMA NANI?......ACHA KULALA WW

ALIYE KWAMBIA CHADEMA WAMEUA NINANI? ...PUMBAFU SAKO.........

MUNGU IBARIKI TZ.......TUONDOKANE NA UFISADI HUU
 
Hata Makamba haipatikani.
 
Mahakama gani unazoongelea?
Hizi zilizowahukumu akina Zombe, Ditopile na Mzee wa vijisenti?
Unajua haki inavyopatikana wewe au unajifurahisha?
Huna akili za kutosha wewe.
 
haki inapatikana hapa katika katiba ambayo waliotoa amri ya kupiga na kuua waliapa kuilinda:
20.-(1) Every person has a freedom, to freely and peaceably assemble,
associate and cooperate with other persons, and for that purpose, express views
publicly and to form and join with associations or organizations formed for
purposes of preserving or furthering his beliefs or interests or any other interests.
 
Kwa yale yaliyotokea Arusha na hali ya kutotii mamlaka za sheria zilizowekwa. Hii yaonyesha kabisa kuwa haki hivi sasa mahala pake pa kupatikana si mahakamani tena bali ni kwa njia ya maandamano na kufanya fujo. Kama sababu ya maandamano yale kama ilivyoelezwa na F. Mbowe kuwa ni kuhusu uchaguzi wa meya wa arusha, haina msingi, kwani wangeenda mahakamani ndipo haki ingepatikana sio kupoteza roho za watu ambao hawana hatia bure.

CHADEMA wamedharau umma wa watanzania na kukaidi kuiamini mahakama ndio yenye kutoa haki.
kama mahakama zipo neno maandamao lilitoka wapi?....na kama wakifungua kesi ingechukua mika mingapi kabla ya kutolewa maamzi...ni wakati gani sahihi wa kufanya maandamano
 
Kwa mujibu wa sheria, Polisi inabidi watoe ruhusu kwa ajili ya mandamano au wanatakiwa wajulishwe tuu ???
 
Amka babu jinga malizako zaliwa na CHI CHI M......

ALIYE KWAMBIA TZ KUNA MAHAKAMA NANI?......ACHA KULALA WW

ALIYE KWAMBIA CHADEMA WAMEUA NINANI? ...PUMBAFU SAKO.........

MUNGU IBARIKI TZ.......TUONDOKANE NA UFISADI HUU

Waonyesha ni jinsi gani ulivyo J*HA wa akili, nyie mnao fanya fujo na msio jua kuwa mahakama ipo ndio mliokuwa mwataka watanzania wawape nchi hii muitawale? Nadhani mngekuwa ma dikteta wa hali ya juu kuzidi hata HITLER, bora Mungu ametuepusha na janga hili
 
Mahakama gani unazoongelea?
Hizi zilizowahukumu akina Zombe, Ditopile na Mzee wa vijisenti?
Unajua haki inavyopatikana wewe au unajifurahisha?
Huna akili za kutosha wewe.

Kwa hiyo fujo ndio mbadala wa mahakama ? kweli CHADEMA mmechanganyikiwa vibaya kama alivyosema SALVA ! Hamna jipya, dhambi ya udini na ubaguzi inawamaliza
 
We kweli mbumbumbu. Unadhani wakaki CCM wanapindisha sheria kwa kufanya uchaguzi wa meya bila kuwashirikisha CHADEMA ilikuwa ni bahati mbaya. Walidhumunia kwa makusudi wakijua wazi kwamba CDM ingekwenda mahakamani. Na kama ingefanyika hivyo basi kesi hiyo ingekwisha mwaka desemba 2014 na uchaguzi mwingine ungepangwa may 2015. Ndiyo maana mnaelezwa kila siku kwamba CHADEMA ni chama makini na chenye viongozi makini na wafuasi makini.:bolt:
 
Back
Top Bottom