Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

Kwa yale yaliyotokea Arusha na hali ya kutotii mamlaka za sheria zilizowekwa. Hii yaonyesha kabisa kuwa haki hivi sasa mahala pake pa kupatikana si mahakamani tena bali ni kwa njia ya maandamano na kufanya fujo. Kama sababu ya maandamano yale kama ilivyoelezwa na F. Mbowe kuwa ni kuhusu uchaguzi wa meya wa arusha, haina msingi, kwani wangeenda mahakamani ndipo haki ingepatikana sio kupoteza roho za watu ambao hawana hatia bure.

CHADEMA wamedharau umma wa watanzania na kukaidi kuiamini mahakama ndio yenye kutoa haki.
Ukizungumzia kupatikana kwa haki Tanzania ni jambo ambalo halitekelezeki...
Kwa miaka mingi haki hiyo imekuwa ikipokonywa na hao wenye nguvu za dola. Tanzania imekuwa ikiitwa nchi ya amani kwa kuwa wanachi wake wengi hatujui haki zetu. Tunaibiwa tu na wachache kwa tiketi ya kulinda amani. Acha hao wachache wa Arusha walioamua kuamka watuoneshe njia ili nasi tufuate. Kuitafuta haki ni jambo gumu sana, kuna watakao umia sana kwa maslahi ya wengi.

Kuna nchi nyingi sana hazina amani wanapigana vita kila mara lakini pamoja na hayo bado wana maendeleo kuziti Tanzania.
Kumbuka kuwa washika madaraka wengine ni lazima wafanyiwe misukosuko ndipo wajue kuwa wananchi wao wako makini na nchi yao, vinginevyo itabaki kuwa hadidhi.
Big up Arusha.....Big up CHADEMA

We kweli mbumbumbu. Unadhani wakaki CCM wanapindisha sheria kwa kufanya uchaguzi wa meya bila kuwashirikisha CHADEMA ilikuwa ni bahati mbaya. Walidhumunia kwa makusudi wakijua wazi kwamba CDM ingekwenda mahakamani. Na kama ingefanyika hivyo basi kesi hiyo ingekwisha mwaka desemba 2014 na uchaguzi mwingine ungepangwa may 2015. Ndiyo maana mnaelezwa kila siku kwamba CHADEMA ni chama makini na chenye viongozi makini na wafuasi makini.:bolt:

CHADEMA sio Chama makini hata siku moja na wafuasi wake nina wasiwasi ni MA*****RA kwani hawajui watendalo wala wafanyalo , mambo ya bendera kufuata upepo hayo, pole sana kwa kuwa mbuzi wa kafara bana ! mtauliwa sana safari hii .
 
Ukizungumzia kupatikana kwa haki Tanzania ni jambo ambalo halitekelezeki...
Kwa miaka mingi haki hiyo imekuwa ikipokonywa na hao wenye nguvu za dola. Tanzania imekuwa ikiitwa nchi ya amani kwa kuwa wanachi wake wengi hatujui haki zetu. Tunaibiwa tu na wachache kwa tiketi ya kulinda amani. Acha hao wachache wa Arusha walioamua kuamka watuoneshe njia ili nasi tufuate. Kuitafuta haki ni jambo gumu sana, kuna watakao umia sana kwa maslahi ya wengi.

Kuna nchi nyingi sana hazina amani wanapigana vita kila mara lakini pamoja na hayo bado wana maendeleo kuziti Tanzania.
Kumbuka kuwa washika madaraka wengine ni lazima wafanyiwe misukosuko ndipo wajue kuwa wananchi wao wako makini na nchi yao, vinginevyo itabaki kuwa hadidhi.
Big up Arusha.....Big up CHADEMA

Kama ni hivyo wataka kusema mahakama zifutwe sasa ??
 
Haki iko kwa baba yako au mat......n kwako

Haki iko kwa baba (WEWE HUNA BABA? AU NI MTOTO WA.........NA NJE YA NDOA ?) yako au mat......n kwako (MALIZIA WEWE ACHA UWOGA KWA WANAUME, AU NI .......GA NINI?
 
Kwa yale yaliyotokea Arusha na hali ya kutotii mamlaka za sheria zilizowekwa. Hii yaonyesha kabisa kuwa haki hivi sasa mahala pake pa kupatikana si mahakamani tena bali ni kwa njia ya maandamano na kufanya fujo. .

CHADEMA wamedharau umma wa watanzania na kukaidi kuiamini mahakama ndio yenye kutoa haki.

Ndio maana wanavaa nguo za Mugambo!!!!
 
safi sana hii ndo namna ya kuwatia discipline wapuuzi kama hawa wanaotumiwa na wanasiasa kama chambo..tena nina uhakika katika maandamano yote hawakuwepo vijana wasomi..wenye uwezo wa kupinga ama kuunga mkono jambo fulani kwa hoja sio nguvu....

Crap
 
geniusBrain my foot,go to hell na wajinga wenzio
Ni mgeni lakini nakuona chizi tu
 
Kwa yale yaliyotokea Arusha na hali ya kutotii mamlaka za sheria zilizowekwa. Hii yaonyesha kabisa kuwa haki hivi sasa mahala pake pa kupatikana si mahakamani tena bali ni kwa njia ya maandamano na kufanya fujo. Kama sababu ya maandamano yale kama ilivyoelezwa na F. Mbowe kuwa ni kuhusu uchaguzi wa meya wa arusha, haina msingi, kwani wangeenda mahakamani ndipo haki ingepatikana sio kupoteza roho za watu ambao hawana hatia bure.

CHADEMA wamedharau umma wa watanzania na kukaidi kuiamini mahakama ndio yenye kutoa haki.

CrapBrain ndio maana wewe ni mshauri wa Makamba aka mzee wa pumba!!
 
Do not tell us where right can be obtained! We know more than you LAYMAN. nikikuuliza haki ni nini unaweza kunijibu? Au unadandia mada usizo na ujuzi nazo?? Acha tutumie nguvu za umma kwani tumechoka kuchezewa mchezo wa kuigiza. Kama mnadhani mna haki miliki ya kuongoza nchi hii mtakavyo SORRY YOU ARE MISTAKEN. mwisho wenu unakuja tena kwa kasi kubwa kuliko ilivyotarajiwa! Tunaikomboa nchi yetu na tukwenda mahakamani kuwapeleka hao mafisadi kwa maovu yao. Kumbuka hawa: Nicholae Chausescu (Romania), Agustino Pinocet (Chile), Iddi Amini (Uganda), Mobutu SeseSeko (Congo), then JK na mafisadi wake (Tanzania) tutawashtaki just wait
icon8.png
 
mjue yakuwa wa tanzania wa leo sio wale!!!!!!!!! We know our rights na hiyo haki soon itatuweka huru na ccm yenu!!!!!!!! Mbona mwanza hamjafanya fyoko? Tena tulikuwa tumejipanga kuangamiza, oleeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa yale yaliyotokea Arusha na hali ya kutotii mamlaka za sheria zilizowekwa. Hii yaonyesha kabisa kuwa haki hivi sasa mahala pake pa kupatikana si mahakamani tena bali ni kwa njia ya maandamano na kufanya fujo. Kama sababu ya maandamano yale kama ilivyoelezwa na F. Mbowe kuwa ni kuhusu uchaguzi wa meya wa arusha, haina msingi, kwani wangeenda mahakamani ndipo haki ingepatikana sio kupoteza roho za watu ambao hawana hatia bure. CHADEMA wamedharau umma wa watanzania na kukaidi kuiamini mahakama ndio yenye kutoa haki.
Nakubaliana na wewe. Kwa kuzingatia kuwa CDM ndo wanaoform majority katika Baraza la Madiwani, hawakuwa na sababu ya kuhangaika. Wangeweza kufanya jambo moja simple nalo ni ku initiate impeachment process kwa Meya Mteule.
 
CHADEMA sio Chama makini hata siku moja na wafuasi wake nina wasiwasi ni MA*****RA kwani hawajui watendalo wala wafanyalo , mambo ya bendera kufuata upepo hayo, pole sana kwa kuwa mbuzi wa kafara bana ! mtauliwa sana safari hii .

So, hiyo ndo mipango yenu ya kuwauwa raia wasio na hatia ilimradi mtawale kwa mabavu sio... pumbaf zako.... Hiyo pua yako inajielekeza wapi wewe..... sote tutakufa tu,,,, wengine ktk kudai haki,,, wengine ajali,,, wengine maradhi na kadhalika... Chunga domo lako wewe usicheze na Mungu.
 
safi sana hii ndo namna ya kuwatia discipline wapuuzi kama hawa wanaotumiwa na wanasiasa kama chambo..tena nina uhakika katika maandamano yote hawakuwepo vijana wasomi..wenye uwezo wa kupinga ama kuunga mkono jambo fulani kwa hoja sio nguvu....

Wewe ni msomi?!
 
Do not tell us where right can be obtained! We know more than you LAYMAN. nikikuuliza haki ni nini unaweza kunijibu? Au unadandia mada usizo na ujuzi nazo?? Acha tutumie nguvu za umma kwani tumechoka kuchezewa mchezo wa kuigiza. Kama mnadhani mna haki miliki ya kuongoza nchi hii mtakavyo SORRY YOU ARE MISTAKEN. mwisho wenu unakuja tena kwa kasi kubwa kuliko ilivyotarajiwa! Tunaikomboa nchi yetu na tukwenda mahakamani kuwapeleka hao mafisadi kwa maovu yao. Kumbuka hawa: Nicholae Chausescu (Romania), Agustino Pinocet (Chile), Iddi Amini (Uganda), Mobutu SeseSeko (Congo), then JK na mafisadi wake (Tanzania) tutawashtaki just wait
icon8.png

Mkuu ulikuwepo wakati mabomu yanarushwa? Hivi chadema wapo Arusha tu? Mhhhhh, kweli wajinga ndio waliwao!
 
Back
Top Bottom