Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

Wazalendo wenzangu, mi nnamuheshimu sana Dr. Slaa na viongozi wote wa CHADEMA ila namuomba mheshimiwa kwenye mikutano inayoambatana na maandamano awe anamwacha mchumba wake. Najua kwa kufanya hivyo si uungwana lakini nakumbuka kauli yake pale kawe ya kwamba yeye si mwanasiasa na hawezi siasa. Sisi bado tutamuheshimu mama huyu kwa vile ndiye mlezi mkuu wa mzee wetu Slaa. Hongela sana Josephine na pole kwa kuumia!
 
Napenda kujua mchumba wa Dr Slaa alipojeruhiwa na polisi alikuwa wapi? Uwanja wa NMC, au alipokuwa anajaribu kuvamia kituo kikuu cha polisi kutoa kuiba silaha, au akiwa na Mbowe pamoja na mbunge Lema katika maandamano ya kuja mkutanoni? Naomba kujua.
 
il iweje? magazeti si yaliandika kila kitu?
 
il iweje? magazeti si yaliandika kila kitu?

Samahani Ivuga huko niliko hilo gazeti halikufika. Ila nasikia serkali imetoa maelezo kuwa walichukua hatua zote kutoa nguvu kidogo kama mabomu ya machozi, risasi za baridi na mwisho kabisa baada ya kuona wanachadema wanavamia kituo kuchukua silaha ndipo walitumia risasi za moto kuzima uasi huu. Ndipo nikashindwa kujua niamini kuwa polisi walilazimika kutumia risasi za moto ili kuzuia wananchi wenye hasira waliotaka kuvamia kituo cha polisi na kuwatoa mahabusu na kuiba silaha. Je ni ukweli??
 
josephine2.jpg

josephine.jpg

mke%20wa%20slaa.jpg

arusha5jan2011.jpg

arusha5Jan2011b.jpg

maandamano2.jpg

maandamano1.jpg

maandamano.jpg

01.jpg

hayakubaliki.jpg

​

Leo hawa hawatahaminiki tena, wageni ndio wamechukua nafasi zao.
 
Aisee wahanga poleni biashara ya siasa inalipa sana
 
Mkuu nadhani Josephine anajuta kuifahamu CHADEMA

Kinachonishangaza ni jinsi Bavicha kwa kushirikiana na team rushwa wanavyowasema vibaya Slaa and Josephine.

Sijawahi kumuunga mkono Slaa awe Rais ila uamuzi wake umemjengea heshima kubwa kwa watu principled...
 
Wewe uliye tupia hizo picha unapungukiwa na uwelewa wa kitu kimoja, leo Obama ni rais mweusi wa kwanza Usa. Lakini wako watu waliyo pambana na wengine walipoteza uhai wao. Naomba ujue wapigania uhuru target zao uwaga ni fifty years ahead.
 
Tatizo ni kuwa huelewi historia. Watu weusi Marekani waliopigania haki na usawa WALIWALAZIMISHA bila kutwaa madaraka uongozi wa Marekani kufuta sheria zote za kibaguzi ili kutoa fursa sawa kwa wananchi wote. Na ni principled struggle ya karne 3 iliyokuja kutoa fursa kwa Obama kuwania urais na kushinda karne ya 21.
Martin Luther King Jr, Malcolm X kwa mfano waliuwawa wakiwa wamesimamia misingi yaani principles zao na hawaku-compromise.
Chadema walichofanya ni sawa na Civil rights movement ingemtosa Martin Luther King Jr na kumweka mkiti mstaafu wa Ku Klux Khan kama head of the movement alafu idai kuwa lengo ni kuingia Whute House. Movement hiyo ingekufa hapohapo!
Kwanza simamia misingi ya usawa na haki ndipo utaweza kujipambanua na kuaminiwa kupewa madaraka.
Dr Slaa anaelewa hilo na hatachoka kusimamia misingi hii!
 
Back
Top Bottom