Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,419
2,270
josephine2.jpg

josephine.jpg

mke%20wa%20slaa.jpg

arusha5jan2011.jpg

arusha5Jan2011b.jpg

maandamano2.jpg

maandamano1.jpg

maandamano.jpg

01.jpg

hayakubaliki.jpg

Haya yanawakuta Watanzania kila siku katika hali mbalimbali: umasikini, maradhi, ufisadi, rushwa, uonevu, ujinga na mengine mengi. Hiyo pcha inaonyesha kuwa Watanzania wakiinuka kudai haki zao, hali ndi hiyo inajitokeza. Hata hivyo, hali hiyo haitakuwa tu kwa wanyonge, bali itakuwa mbaya zaidi kwa wale wote wanaowakandamiza wananchi wakishirikiana na vibaraka wao. SIKU HIYO INAKUJA.
 
This is tautology, might be wise to delete this post! MOD please do the necessary.
 
Tunafurahi kwamba Tanzania ni kisiwa cha amani!!!!! This is disgusting! kama Iraq!
 
Rev Masanilo is an agent of CCM and its mafisadi. The days to hide the TRUTH have gone. What we need to get informed more is the MALICIOUS conduct of the sitting government of CCM which can into power by force. The end of sufferings from CCM is coming. God bless Josephine! God bless Dr.Slaa.Time will tell! We are ready for fighting to the end until truth is known.
 
I am missing something here!
 
Mungu ameuona uovu huu kutumia nguvu kwa raia ambaye hana silaha wala hajatumia nguvu! Atauadhibu ubaradhuri huu uliotamalaki!
 
Shame on you CCM boot leakers.
Hivi polisi huwa hata hawaoni soni kushambulia such a defenceless lady!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom