Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

Unamaanisha nini juu ya uhalali wa umeya? Meya tunaye...period.

Halafu unashangaa hizo picha wakati cdm ndio waliosababisha yote haya?

Inaonekana mnaruka bila ya kujua mtaangukia wapi.

crap
 
malaaaya
 
Watu wakilewa huwa wanaropoka hovyo. Hivi ni uchaguzi gani unaoweza kufanyika bila kutimiza idadi ya wajumbe inayotakiwa? Hayo yalishindikana Kigoma 2005, sasa hivi CCM wamebaka demokrasia huko Arusha na wewe unashabikia. Hujui usemalo
 
Unamaanisha nini juu ya uhalali wa umeya? Meya tunaye...period.

Halafu unashangaa hizo picha wakati cdm ndio waliosababisha yote haya?

Inaonekana mnaruka bila ya kujua mtaangukia wapi.
Crapping
 
Vp mbona umetoroka mirembe mzee, umepona kweli?
 
Unamaanisha nini juu ya uhalali wa umeya? Meya tunaye...period.

Halafu unashangaa hizo picha wakati cdm ndio waliosababisha yote haya?

Inaonekana mnaruka bila ya kujua mtaangukia wapi.
meya wa kwako na mmeo na mafisadi...
 
Unamaanisha nini juu ya uhalali wa umeya? Meya tunaye...period.

Halafu unashangaa hizo picha wakati cdm ndio waliosababisha yote haya?

Inaonekana mnaruka bila ya kujua mtaangukia wapi.
inabidi wataalamu wa IT waangalie namna ya kuweka controls, ili kama ukianzinsha thread na hutaki baadhi ya wendawazimu wachangie ...unakuwa na option ya kuwanyima hiyo access. Bila hivo watu kama kina kishongo, MS, Dar Es Salaam, Kibunango ambao nahisi wametoroka mirembe wataendelea kusumbua.
 
Unamaanisha nini juu ya uhalali wa umeya? Meya tunaye...period.

Halafu unashangaa hizo picha wakati cdm ndio waliosababisha yote haya?

Inaonekana mnaruka bila ya kujua mtaangukia wapi.

Kumbe JUHA wako wengi
 
Unamaanisha nini juu ya uhalali wa umeya? Meya tunaye...period.

Halafu unashangaa hizo picha wakati cdm ndio waliosababisha yote haya?

Inaonekana mnaruka bila ya kujua mtaangukia wapi.

......Huyu amechanganyikiwa nini!
 
Walivyopigwa Zanzibar mlisema sawa sasa zamu yenu!!!!!!!!!!
Na kila mkiandamana mtakiona cha mtema kuni.
thanks,umewahi kunisemea kilicho moyoni,wakati zenj watu wanauwawa na kujeruhiwa wakati ule wao walisema wazenj wanatuletea vurugu,sasa zamu yao.tii sheria ili uwe salama,naskia walitaka kuvunja kituo cha polisi wawa toe viongozi wao je huko sikuchokoza mzinga wa nyuki kwa mkono??
 
KiSHONGO hANA TOFAUTI NA KIBONDE WANAROPOKA TU WOTE
 
KiSHONGO,WEWE MBONA DAMPO LA MATAILA,KISONOKO WEWE ULILAANIWA TOKA
 
Kusema ukweli bila siasa na ushahidi ninao huyu dada hakupigwa hapo kajaza mi tomato sause ionekane kama damu. Nimefanya ukaguzi hana kovu lolote. anayebisha atuabie alitibiwa wapi na alishonwa nyuzi ngapi?
Mabulangati, you belong to hell that's why you believe in 'Nyanya'. CCM wanatumia pesa nyingi za walipa kodi kununua magari ya ajabu ajabu, mabomu, nguo za kukinga lisasi wakifikiri kufanya hivyo ndiyo kutawala milele huku wakiacha afya za watanzania zikiwa duni na bado mwisho wanaishia kutupiga kwa jinsi ya namna hii. Hii wapi polisi shirikishi maana tunapotaka kusema kwa njia ya maandamano tunapigwa.

Ni lipi tunaloshirikiano nao. IGP Mwema kwa kufanya kazi Interpol imekuwa nongwa kila kitu intelligencia. CCM Wanaiogopa CHADEMA kwa kuwa ni warithi wakubwa wa madaraka yao.
 
inabidi wataalamu wa IT waangalie namna ya kuweka controls, ili kama ukianzinsha thread na hutaki baadhi ya wendawazimu wachangie ...unakuwa na option ya kuwanyima hiyo access. Bila hivo watu kama kina kishongo, MS, Dar Es Salaam, Kibunango ambao nahisi wametoroka mirembe

wataendelea kusumbua.
&lt;br /&gt;<br

BIg Up Mkuu,Washenzi kama hao wataendelea kuwepo,tatizo huanzia kwenye Ubongo,We shall Overcome!!!!
&lt;br /&gt;
 
KISHONGO nazani wewe ni kichaa....Hivi Umetumwa na nani wawe....Mimi nazani wewe ni mdogo wake malariasugu. HIVI HAWA MAFISADI WALIVYO CHAKACHUA UMEYA HUKUONA?
 
Ha ha ha ha ha Payuka umeusuuza Mtima wangu ulipotaja orodha ya vichaa waliotoroka
Mirembe na mkakati uliopendekeza wa kuwadhibiti!!
Huyo "Dar es salaam" naona ndiye mwenyekiti wao hao viumbe wazitoz!!!
 
Huu ndio utawala wa chama cha kupindua! Wako radhi waue maelfu ya raia kwa ajili ya kulilinda fisadi papa limoja....na mafisadi yangumi matano!
 
Back
Top Bottom