Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

Ni wakati muafaka wa sisi watanzania kuamka na kwa vitendo,tumeongea sana arusha wameanza na wengine tuamke,tusiwe waoga tujitetee kwa vitendo.
 
Duh!Aisee sasa si kuna wengine wamevunjwa mbavu huko?Poleni wazalendo!
 
Haya mambo tusiyachukulie mzaha. huku ni kuzoea damu za watu na mwisho wake sijaujua. Mungu tusamahe watz hasa viongozi ambao wanalifumbua macho jambo hili.
 
Kikwete ameanza kumwaga damu za watanzania, pole sana josephine kwani tumeona namna gani umejitolea maisha yako kwa ajili ya kuwatetea watanzania wanyonge wa tzn na hasa kwa kitendo chako cha kupinga kitendo cha ccm kutumia matumizi ya dola kualalisha uhalali wao pamoja na kwamba wananchi wengi wa arusha waliwakataa. Hongera mama mpiganaji.
 
Too bad!

Pole sana Josephine. Demokrasia ya kweli ina gharama yake kuipata.
 
Jamani hii inatisha! Kweli polisi wamefika kupiga wanawake kwenye maandamano????? This is serious! I hope This picture becomes front page news. Pole Josephine.
 
Jamani hii inatisha! Kweli polisi wamefika kupiga wanawake kwenye maandamano????? This is serious! I hope This picture becomes front page news. Pole Josephine.

Unamaanisha polisi wakipiga wanaume kwenye maandano, it is not serious.
 
josephine.jpg


Mpiganaji halisi
 
Mi nafikiri sasa matunda ndio yataonekana ya mapambano kwani inasemekana kuwa watu 10 wamekufa.....
Source BBC
 
Sasa huyo mama kahatarisha amani kivipi? hapa lilikua linakuja tusi lakini naogopa dhambi, Baba uketie mahali pa juu unisamahe
 
Back
Top Bottom