Habari katika picha: Kilichojiri Arusha Jan 5, 2011

Polisi wanapenda sana wakiambiwa kadhibitini raia wanaodai haki maana wanajua hawana silaha, mbona mkiambiwa kuna majambani sehem fulani mnachelewa kwenda?
Kamanda wa polisi arusha alibariki hayo maandamano then IGP anatengua maamuz nn maana yake? Je kamanda wa polisi arusha hajui anachokifanya?
 
Hii nimeikwapua kwenye FB ya Subi Nukta

163263_1757351702727_1507034707_31791058_6018349_n.jpg
Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA Dk.Wilbroad Slaa, Josephine akiwa ametapakaa damu baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kipigo na polisi wakati wakivunja maandamano ya viongozi na wanachama wa chama hicho yaliyofanyika mjini Arusha jana.Katika maandamano hayo watu kadhaa walijeruhiwa baada ya kupigwa na pilisi wa kutuliza ghasia.(Picha na Paul Sarwatt)

via Khalfan Said blog
 
Rev Masanilo is an agent of CCM and its mafisadi. The days to hide the TRUTH have gone. What we need to get informed more is the MALICIOUS conduct of the sitting government of CCM which can into power by force. The end of sufferings from CCM is coming. God bless Josephine! God bless Dr.Slaa.Time will tell! We are ready for fighting to the end until truth is known.
what a shallow analysis... pole sana kwa kutokujua maana
 
Duh hii ndio Tanzania nchi ya amani under ccm leadership too sad. But ukombozi una gharama....................Mungu wasaidie wapiganaji wa kweli.
 
CCM Wanataka Kutuuwa Sote Tanzania ili Tuwapigie Magoti. Wananchi Hakuna Kusurrender kwa Sera za Kifisadi na Wizi. Jk ni Mwizi wa Kila Kitu Kama Mkapa. Huu Ndio Mwisho wa CCM Tanzania. JK Afiki 2015 Twa Ahidi.
 
Jk sasa ameigeuza nchi hii kuwa ni police state...kama ile ya kaburu wa Afrika ya Kusini.......................Yaani inasikitisha mno......................wenye vurugu ni JK na CCM yake.......................................
 
asiyeona huu udhalimu na uonevu wa polisi ana akili mgando kwani kuna sababu ipi kumuumiza mtu asiye na silaha kiasi hiki????
 
Mbona hapa hakuna polisi wala mabomu?....kwani hizo repoti za intelijinsia hazihusu CCM na maandamano yake?

Maandamano.jpg
 

This is tautology, might be wise to delete this post! MOD please do the necessary.

Tautology may refer to:
1. Tautology (rhetoric), using different words to say the same thing even if the repetition does not provide clarity.
2. Tautology (logic), a technical notion in formal logic, universal unconditioned truth, always valid.

Masanilo yuko sahihi anaposema hii post iondolewe, he has used the first definition of tautology. Habari hii imeshasemwa katika post mbili tofauti na hii, so kuirudia ni kujaza saver bureeee!!!
 
Back
Top Bottom