Wape jukwaa wakolomije watiririkeamesema ana mzigo mkubwa ila roho hajamruhusu kulipua tusubirie kwanza mkuu .ila kuna hadi walimu wake na walimu wa daudi toka koromije
Wape jukwaa wakolomije watiririkeamesema ana mzigo mkubwa ila roho hajamruhusu kulipua tusubirie kwanza mkuu .ila kuna hadi walimu wake na walimu wa daudi toka koromije
Yeye kasema bashite alifoji vyeti, kama si kweli makonda atoke nje na vyeti vyake authibitishie umma ili mchungaji mlopokaji kama mnavyomwita aaibike. Anangoja nini bashite? Mwambieni afanye haraka watu tumechoka na hii ngonjera.Ahubili injili, aache ngonjela na kuuza unga.
Kweli kabisa hii machine ni toleo jipya 2 in 1 kusaga na kukoboa !!!Mmmmmmmmmh
Mungu sio mnafiki hata siku moja tena ni mwenye wivu imeandikwa jino kwa jino na jicho kwa jicho ,imeandikwa auaye kwa upanga atakufa kwa upanga tena Bwana ni ngome yangu na boma langu nimuogope nani Jeshi lijapojipanga kupigana nami sitaogopa maana Bwana yupo nami fimbo take na gongo lake lanifariji.Gwajima anazidi KUJICHAFUA.
Yesu alipoudhiwa na ADUI zake ALIWASAMEHE na KUWAOMBEA.
Mungu wa kweli ni wa UPENDO.
Je mungu wa Gwajima ni YUPI?
Je ni FEDHA, MALI, UMAARUFU, POWER,all that combined.?
Kweli kama biblia isemavyo MTAWAJUA kwa MATUNDA yao.
It doesn't make any sense being at constant loggerheads with those in AUTHORITY!!
Hivi kwanini msimwambie Bashite akaombe msamaha ,ni nani kati yenu amewahi kusamehe bila kuombwa msamaha,mnataka Ngwajima asamehe mbona amumuambii Bashite aombe msamaha msiwe wanafiki.Biblia gani na ya mungu yupi unayoitumia ? Isiyotaka kusamehe mtu alokukosea? Patanautofauti gani na mpagani?
Ni mkutano wa hadhara au mafundisho ya Mungu?
Duuh, Love him you!I love him you know.
Mkuu, unaweza kufafanua?Mungu sio mnafiki hata siku moja tena ni mwenye wivu imeandikwa jino kwa jino na jicho kwa jicho ,imeandikwa auaye kwa upanga atakufa kwa upanga tena Bwana ni ngome yangu na boma langu nimuogope nani Jeshi lijapojipanga kupigana nami sitaogopa maana Bwana yupo nami fimbo take na gongo lake lanifariji.
Yule aketiye mbinguni anacheka
Ngoma ikilia sana upasuka.Dar es Salaam.Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.
Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote."
"Watu wananiambia niache kumpiga mbona hawakumwambia yeye aache kunipiga, nitampiga tu na bado kazi inaendelea."
Biblia inazungumzia kuhusu " kutimiza UNABII wa maandiko."The ZEAL of your HOUSE consumed me"/ Wivu wa wa NYUMBA yako ULINILA.Hujasikia kuwa yesu aliwachapa watu wslokuwa wanafanya biashara hekaluni? Mbona hakuwahurumia? Au alikuwa yesu gani yule?
who is lucifer? kwa mujibu wa biblia lucifer ni Yesu so uko sahihi gwajima ni mtumishi wa MunguHuyu Gwajima si mtumishi wa Mungu ni miongoni Mwa watumishi wa Lucifer! Haiwezekani mchungaji unakuwa na visasi, roho ya chuki, kutamani watu wafe au wafikwe na mabaya! Biblia ilikwisha watabiri watu kama hawa kuwa utawatambua kwa matendo yao hao manabii wa uongo.
Kansai ama msikitinkMkuu kwani ukimkosea Mungu unaenda wapi!!!?
Anatunza makombora! Halafu angehatarisha maisha yao! Msome Mange Kimambi huko instagram keshamfukunyua!Sa' mbona huyu nae kama anatuzingua alisema leo ugeni wa Koromije unaweka mambo hadharani sasa imekuwaje tena ... mambo ya mashine, sembe sijui kukoboa yametokea wapi argh!!!
Ubabaifu sipendi mimi!!!