mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,857
- 45,850
Duu umempa za uso mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimepitia profile yako nikidhani uliwahi kuleta humu mjadala wowote wa maana kumbe mavi matupu.
Duu umempa za uso mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimepitia profile yako nikidhani uliwahi kuleta humu mjadala wowote wa maana kumbe mavi matupu.
Vyovyote unavyotaka kuyaita yaite tu BASHITE TEAMNi mkutano wa hadhara au mafundisho ya Mungu?
Kwanza jina la huyo askofu sio la Tanzania nahisi ni la nchi jirani. Ukiona mtu anakuwa msemaji sana au mjuaji sana ujue ana kasoro tafuta uraia wake utagundua mengineSafi sana askofu Gwajima, sasa Tz na dunia inajua RC wa dar kaghushi vyeti.
Wewe ni mmoja wa waathirika hao.Nimepitia profile yako nikidhani uliwahi kuleta humu mjadala wowote wa maana kumbe mavi matupu.
Sa' mbona huyu nae kama anatuzingua alisema leo ugeni wa Koromije unaweka mambo hadharani sasa imekuwaje tena ... mambo ya mashine, sembe sijui kukoboa yametokea wapi argh!!!Askofu Gwajima asema yeye ni mashine
Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote."
Soma zaidi: http://www.mwananchi.co.tz/…/1597578-3837656-okd…/index.html
Askofu Gwajima asema yeye ni mashine
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.
mwananchi.co.tz
Sio huyu Gwajima tapeli lakini.hata kwenye bible na koroan tunasoma watumishi walikuwa na maadui na na waliomba Mungu kuwafanikisha kuwashinda hata kuwaua..
Kwani Koromije ipo nchi jirani?Kwanza jina la huyo askofu sio la Tanzania nahisi ni la nchi jirani. Ukiona mtu anakuwa msemaji sana au mjuaji sana ujue ana kasoro tafuta uraia wake utagundua mengine
Duniani kote hakuna mashine ya KUSAGA NA KUKOBOA hii ya mashine ya gwajima itakuwa ndio ya kwanza
Na kama hajafoji itabaki kuwa hivyo hata dunia nzima ikitangaziwa kuwa kafojiKusamehe sio lazima ndo mana MUNGU hajamsamehe ibilisi mpk Leo,so tutolee ngonjera zako hapa!!km kafoji itabaki hvyo hvyo period,yeye kuchafulia majina watu wengine aliona ni sifa sana.Mange na Gwajima endelezeni mapambano aluta kontinua
Hi treni nimeisubiri sana hatimae imefika bila koromije ngoja nipande zangu kifodi nisepe
I love him you know.Ni kweli huyu mtu ni mropokaji anayeropoka vya ukweli maana bila yeye tusingejua kuwa Paul Makonda ni Albert Bashite
harafu serikali inaogopa kumkamata na kumshtaki au! Mnafikiri hao uko duniani wajinga, watu wameshaelewa mpaka sasa kichekesho kipo wapi, endeleeni kukwepesha upepo kwa kujifarijiSasa TZ na Dunia nzima wanajua Gwajima ni Askofu wa madawa ya kulevya
Mkuu kwani ukimkosea Mungu unaenda wapi!!!?Biblia gani na ya mungu yupi unayoitumia ? Isiyotaka kusamehe mtu alokukosea? Patanautofauti gani na mpagani?
Hujasikia kuwa yesu aliwachapa watu wslokuwa wanafanya biashara hekaluni? Mbona hakuwahurumia? Au alikuwa yesu gani yule?Gwajima anazidi KUJICHAFUA.
Yesu alipoudhiwa na ADUI zake ALIWASAMEHE na KUWAOMBEA.
Mungu wa kweli ni wa UPENDO.
Je mungu wa Gwajima ni YUPI?
Je ni FEDHA, MALI, UMAARUFU, POWER,all that combined.?
Kweli kama biblia isemavyo MTAWAJUA kwa MATUNDA yao.
It doesn't make any sense being at constant loggerheads with those in AUTHORITY!!