Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Hakuna cha wageni toka Kolomije wala cheti. Baada ya hapa hakuna atayeamini maneno ya Gwajima wala Mahubiri yake. Pumbafu sana, me nimekuja kuskia details za Bashite halafu naambulia ujinga
 
amesema ana mzigo mkubwa ila roho hajamruhusu kulipua tusubirie kwanza mkuu .ila kuna hadi walimu wake na walimu wa daudi toka koromije

Nimekuja mbio mpaka nimepostponed kuonana na mchepuko wangu kumbe mambo bado daaah,
 
tapatalk_1487848274199.jpg
 
Bwana yule yupo humu?
Basi na jamiiforum inatumia ID feki.
 
Dar es Salaam.Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.

Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote."

"Watu wananiambia niache kumpiga mbona hawakumwambia yeye aache kunipiga, nitampiga tu na bado kazi inaendelea."
 
Subiri kijana,kasema hawezi toa silaha zote,ila im sure atagusia gusia mwishoni
Mrembo huyu babu hana madini yoyote yale, iwe result slip wala ndugu yake na wageni toka Kolomije. Nimechoka kiakili, ntakuja kujipoza na pilau la jumapili baadae tukale supu ya pweza
 
amesema ana mzigo mkubwa ila roho hajamruhusu kulipua tusubirie kwanza mkuu .ila kuna hadi walimu wake na walimu wa daudi toka koromije
Roho ipi bwana ...kashatishwa
Aaah yan nataman kwel alipue
yule mnafiki mwingine kule analia lia eti ..dah watu kwa usaniiii...
 
Tupeni linki tuone laivu jamani! Haitoshi Bunge wamekaba laivu na hili nalo?
 
Back
Top Bottom