Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na uzima ,Bwn Josephat Gwajima amesema kwamba, vita ndo kwanza imeanza. Ana nyaraka zote zinazoonesha uhalali wa Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwamba jina lake halisi ni Daudi Bashite na kwamba kama anabisha hakuina cheti, ajitokeze kuthibitisha swala hilo.

" Nilichorusha ni kijipande tu, matokeo yake mnayaona. Ajiyokeze akanushe swala hilo kwa evidence na mm ntatoka kumuonesha vyeti vyangu. Mkuu wa Mkoa amemchokoza mtumishi wa Mungu, matokeo yake ndo haya. Ajitoke kuomba msamaha"

Chanzo: MUUNGWANA BLOG
 
proxy.jpg
 
Dah Makonda roho ya paka....
Ndio tatizo la kujipendekeza kama sio kujipendekeza kwa rafiki yake,mtu mzima asingemwaga machozi hadharani
hajui kula sahani moja na kipofu!mwenzake ana uwezo wa kuwaficha "wabaya" wake huko Mafia kama akina Saanan wewe utawaficha wapi?Kigamboni?
 
kazi ndiyo kwanza imeanza kwa bashite hivi kama kweli angekua na vyeti vya kwake kabisa angekaa kimya bila ata kuvitoa hapa kuna ukweli umejificha siyo bure ngoja tuone huu mtanange wa bashite.
Hapa kuna jambo limejificha kweli mkuu.
 
Gwajima nae ni Bashite tu, kila Siku mikwara hiyo hiyo..hana lolote anacheza tu akili za watanzania.
mikwala? muulize bashite kwanini anamwaga chozi hadharani hadi siku hizi kasahau dhehebu lake
 
Mama Filipo hata ungeyasema haya wakati ule hakuna hata ambae angekusikiliza, wakati ule "he was our golden boy".
 
Back
Top Bottom