Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Biblia gani na ya mungu yupi unayoitumia ? Isiyotaka kusamehe mtu alokukosea? Patanautofauti gani na mpagani?

Acha kutuzengua na ww Kwan kusamehe ni lazima,husituchoshe bhn eboooh!!
 
Biblia gani na ya mungu yupi unayoitumia ? Isiyotaka kusamehe mtu alokukosea? Patanautofauti gani na mpagani?

Kusamehe sio lazima ndo mana MUNGU hajamsamehe ibilisi mpk Leo,so tutolee ngonjera zako hapa!!km kafoji itabaki hvyo hvyo period,yeye kuchafulia majina watu wengine aliona ni sifa sana.Mange na Gwajima endelezeni mapambano aluta kontinua
 
Gwajima anazidi KUJICHAFUA.
Yesu alipoudhiwa na ADUI zake ALIWASAMEHE na KUWAOMBEA.
Mungu wa kweli ni wa UPENDO.
Je mungu wa Gwajima ni YUPI?

Je ni FEDHA, MALI, UMAARUFU, POWER,all that combined.?
Kweli kama biblia isemavyo MTAWAJUA kwa MATUNDA yao.
It doesn't make any sense being at constant loggerheads with those in AUTHORITY!!
Umesahau jinsi yesu alivyokasirika na kuwafukuza wafanya biashara kanisani?
Ktk ubanadmu ule yesu alikasirika je askofu aliyesingiziwa kuwa anauza dawa za kulevya unategemea akae kimya?
Ameumbwa na nyongo pia
 
Jumapili imefika na sasa inaisha na Gwajima hajatoa chochote!

I'm grinning ear to ear😀.
JF imebadilishwa kuwa kijiwe cha udaku, majungu, umbea, nk badala ya kubadilishana, kupashana na kujadiliana masuala ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiteknolojia.

Ni AIBU kuendelea kuwakumbatia waathirika wamatumizi ya viroba na unga, kujaza maneno yao humu jamvini.

Mods tusaidieni kufuta bandiko za kizushi.
 
Nimepitia profile yako nikidhani uliwahi kuleta humu mjadala wowote wa maana kumbe mavi matupu.
 
Kuna mtu leo alikua analia kanisani ndo kasagwa huyoo
Jamani huyu jamaa vipi kwani akikaa kimya atapungukiwa na nini? Kama fedha anazo tena za ziada ni bora angefurahia mali zake kabla hajafa kuliko kuiita jela bila ya sababu ya msingi
 
Back
Top Bottom