Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Gwajima anaweza akawatesa watu kama Lowasa alivyowatesa na anavyoendelea kuwatesa.
 
Huyu Gwajima si mtumishi wa Mungu ni miongoni Mwa watumishi wa Lucifer! Haiwezekani mchungaji unakuwa na visasi, roho ya chuki, kutamani watu wafe au wafikwe na mabaya! Biblia ilikwisha watabiri watu kama hawa kuwa utawatambua kwa matendo yao hao manabii wa uongo.
 
Siungi mkono style ya Makonda kupambana na madawa ya Kulevya lakini pia sikubaliani na style ya Gwajima kujitetea
Yawezekana Gwajima anaonewa sawa lakini huwezi kutumia madhabahu kila Jpili kumshambulia adui yako binafsi hii nayo ni dalili ya kutojihamini na kutafuta huruma.
Wafuasi wake wanahitaji kulishwa neno la Mungu sio mipasho ya Bashite na Kolomije...
 
Back
Top Bottom