Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

kazi ndiyo kwanza imeanza kwa bashite hivi kama kweli angekua na vyeti vya kwake kabisa angekaa kimya bila ata kuvitoa hapa kuna ukweli umejificha siyo bure ngoja tuone huu mtanange wa bashite.
ukweli ni kwamba hana ila sasa hajui achomoke vipi kwenye hili.. ni sawa unamwamini mke wako sana halafu siku unamfumania majirani wanamsema vibaya kila siku lakini wewe upo kimya mkeo lazima apate wakati mgumu na anaweza kutoroka au kujiua ...
 
" MAPIGO.HATA BADO HAYAJAANZA ..
NACHOTAKA NI ATAMKE KWAMBA NDUGU YANGU NIMEONEA DAMU ISIYO NA HATIA,NAOMBA SAMAHANI...BAADA YA KUTAMKA HAYO ..UPANGA UTARUDI MAHALA PAKE KUTULIA "" -- BISHOP GWAJIMA
 
Hapa kuna jambo limejificha kweli mkuu.
kweli mkuu yani uwe na vyeti safi upate shutuma zote bila ata kuvitoa uraiani huyu bashite kuna kitu anakiogopa kwenye sakata lake la vyeti yy alikua ana sakama wenzake sasa kibao kimemgeukia yy anaanza kulia atoe vyetu tu.
 
ukweli ni kwamba hana ila sasa hajui achomoke vipi kwenye hili.. ni sawa unamwamini mke wako sana halafu siku unamfumania majirani wanamsema vibaya kila siku lakini wewe upo kimya mkeo lazima apate wakati mgumu na anaweza kutoroka au kujiua ...
teh teh teh Mdau umetoa mfano mzuri kwahiyo bashite sasa hivi roho yake iko juu juu maana imefikia hatua mpaka ana mwaga chozi siyo bure ila malipo ni hapahapa duniani wacha tutazame huu mchezo wa vyeti vya bashite mpaka mwisho aise.
 
Eti Askofu......askofu unatumia mimbari kujadili personal life ya mtu au kwa vile kanisa ni lako
 
kweli mkuu yani uwe na vyeti safi upate shutuma zote bila ata kuvitoa uraiani huyu bashite kuna kitu anakiogopa kwenye sakata lake la vyeti yy alikua ana sakama wenzake sasa kibao kimemgeukia yy anaanza kulia atoe vyetu tu.
Afanye mtihani Oct 2017.
 
Wauza madawa na Kanisa wapi na wapi!!!
Makonda harudi nyuma
Na sisi watanzania tusirudi nyuma hamna mtu ambaye yuko juu ya sheria na nawaomba mawakili mfate agizo la Rais, msitetee wahalifu au mhalifu huyu. (Ona sasa mambo yana fireback - usimlie mtu yamini hata siku moja, binadamu Ana maficho sana). Tume ya Madawa ya kulevya iendelee na kazi yake unless hamna imani nayo ingawa evidence ilivurugwa vibaya sana.
 
teh teh teh Mdau umetoa mfano mzuri kwahiyo bashite sasa hivi roho yake iko juu juu maana imefikia hatua mpaka ana mwaga chozi siyo bure ila malipo ni hapahapa duniani wacha tutazame huu mchezo wa vyeti vya bashite mpaka mwisho aise.
sababu ukweli anaujua halafu anachanganya watumishi hawajui wamuombee nani? daudi au paul?
 
Naona nabii Anatengeneza tena mazingira ya kupiga sadaka tena next sunday

Na ile misukule ya kifipa aliyoifufua kutoka makaburi ya kinondoni nadhan itaimba na kumtukuza

Amen
 
ukweli ni kwamba hana ila sasa hajui achomoke vipi kwenye hili.. ni sawa unamwamini mke wako sana halafu siku unamfumania majirani wanamsema vibaya kila siku lakini wewe upo kimya mkeo lazima apate wakati mgumu na anaweza kutoroka au kujiua ...
nipeni clip akiwa analia hahahah babake ha\jampigia simu live kumbembeleza?😱😱😱😱😱
 
Back
Top Bottom