Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

Hili kanisa bora lifungwe au wasajili kama chama cha siasa
 
injili inahusu maisha ya watu kimwili na kiroho wakati siasa inahusika na maisha ya watu kimwili zaidi. je siasa na dini hazina malengo yanayofanana ?sio kuboresha maisha ya watu ?
 
Du jamaa anamadongo, eti kuna madaktari wanakwenda kutoa lecture Japan lakini wako kimya leo hii kijitu hakijulikani hata DRC kina leta mdomo mdomo.
Halafu na ww si utume hata clip update gani zinstuck kama mawimbi ya rtd enzi hizo
Leo hakikaa klkuwa hamnaaa ibadaaa baliii ni mkutanoooo wa hadhara dhidi ya bashiteee
 
Back
Top Bottom