Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,938
- 288,085
Mkuu endelea kutuwekea updates wengine tunatumia TECNO za tochi.kuna watu toka kolomije.
gwajima adai mzazi wake amejenga kolomije
Mkuu endelea kutuwekea updates wengine tunatumia TECNO za tochi.kuna watu toka kolomije.
gwajima adai mzazi wake amejenga kolomije
Aibu baba zima linalia kanisani aibu sana, akienda na msikitini alie piaUshawahi ona RC analia kanisani??
Anataka ajisafishe dhidi ya utumbo alioufanyaAibu baba zima linalia kanisani aibu sana, akienda na msikitini alie pia
Sasa TZ na Dunia nzima wanajua Gwajima ni Askofu wa madawa ya kulevyaSafi sana askofu Gwajima, sasa Tz na dunia inajua RC wa dar kaghushi vyeti.
VipiMmmmmmmmmh
Tambua kuwa huyu ni mwanadamu kama wewe na wengine wote, wakati Bashite akimdhalilisha mlimshangilia na kutoa maneno ya dhihake kwake, sasa nizamu yake kutoa adhabu.Mungu mwenyewe ameshawahi kutoa adhabu kwa watu kwa kukosa kutii.Acha askofu Gwajima "amnyoroshe" huyu pimbi kisha toba itafuata baadae.Itakuwa hivyo; ana fit sana kwenye politics siyo ktk madhabahu.
Bishop wa visasi huyo.
Gwajima anazidi KUJICHAFUA.Askofu Gwajima asema yeye ni mashine
Gwajima amesema hayo leo asubuhi katika ibada inayoendelea kanisani kwake hivi sasa akieleza kuwa, "Baba wa familia amechokozwa kuwa anavuta unga watoto wamechachamaa wanataka baba ampige adui yake, nitaendelea kupiga bila kuogopa chochote."
Soma zaidi: http://www.mwananchi.co.tz/…/1597578-3837656-okd…/index.html
Askofu Gwajima asema yeye ni mashine
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema yeye ni sawa na mashine ya kusaga na kukoboa ambayo ukiweka miguu unageuka sembe.
mwananchi.co.tz
Na yule mwingine anayetangaza msemaji ukweli ni mpenzi wa Mungu lakini anakusanya michango ya wahanga wa mafuriko na kuila tumwiteje?Anapopoteza wanaohoji kuhusu Pasaka ya Hassan wa Dar yake tumwiteje naye? Na yule baba anayeamua kwenda kula chips Kuku na nyama choma huku watoto hawana hata uji halafu anawaambia wakavune pasipo na maneno tumwiteje?Huyu Gwajima si mtumishi wa Mungu ni miongoni Mwa watumishi wa Lucifer! Haiwezekani mchungaji unakuwa na visasi, roho ya chuki, kutamani watu wafe au wafikwe na mabaya! Biblia ilikwisha watabiri watu kama hawa kuwa utawatambua kwa matendo yao hao manabii wa uongo.
Katibu Mkuu Daudi na wewe uwe nani?Nafikiri Gwajima sasa aanzishe chama chake cha siasa tu...
hata kwenye bible na koroan tunasoma watumishi walikuwa na maadui na na waliomba Mungu kuwafanikisha kuwashinda hata kuwaua..Huyu Gwajima si mtumishi wa Mungu ni miongoni Mwa watumishi wa Lucifer! Haiwezekani mchungaji unakuwa na visasi, roho ya chuki, kutamani watu wafe au wafikwe na mabaya! Biblia ilikwisha watabiri watu kama hawa kuwa utawatambua kwa matendo yao hao manabii wa uongo.
Well spoken man of God. Ndiyo Maana mimi ninasema madhabahu ya kanisa ninaloliongoza sitaruhusu mwanasiasa kusimama kwa sababu most of them are servants of the devil. Wamejifungamanisha na ibilisi shetani (mungu wa bahari)Tangu Magufuli aingie madarakani kumezuka tabia ya kusali na kutoa neno. Na mara nyingi watu tumekuwa tukikemea tabia ya wanasiasa kutumia madhabahu kuzungumzia siasa.
Hili jambo ndilo linalosababisha hawa viongozi wa kidini nao kuona kumbe madhabahuni siasa inaongeleka. Nakumbuka wakati ule pale Mwembe Chai palivyosawajishwa kwa kisingizio cha kuchanganya dini na siasa. Tusishangae, kwa kuwa viongozi wanaliendekeza na kulipenda, sasa acha liwaadhibu.
Wamelikoroga lazima walinywe!
Ingawa wengine hatupendelei madhabahu kutumiwa na wanasiasa kwa kuwa ndani ya nyumba za ibada kuna mgawanyiko mkubwa wa itikadi za kisiasa. Hivi mbona tunakemea sana udini kwenye vyama vya siasa kwa nini hili linaendekezwa na viongozi wa kisiasa? Leo Makonda (Bashite), ambaye ni mwanasiasa kapewa kipaza sauti kanisani mara kaenda kwa masheikh, kwa kweli inakera. Kama Kambarage na Kawawa wangalitumia majukwaa ya kidini wangalikosa mashiko ya kukemea udini.
Inabidi mmosaji atubu pia. Sasa bashite anaenda kuliali huko kwingine badala y kwenda kanisani kwa gwajimaBiblia gani na ya mungu yupi unayoitumia ? Isiyotaka kusamehe mtu alokukosea? Patanautofauti gani na mpagani?
[emoji443] Bado! ~Mr Ebo...Ushawahi ona RC analia kanisani??
Huyo Makondakta wenu mpaka asamehewe mwenyewe amekiri kosa lake?Biblia gani na ya mungu yupi unayoitumia ? Isiyotaka kusamehe mtu alokukosea? Patanautofauti gani na mpagani?
The End adui kafa na staring kafa...Game Over!