Pamputi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 982
- 724
Mkuu me binafsi nlikua nasubiri habari ya nabii kutoa vyeti maana tuliaminishwa hvyo au ilikua mkakati wa kuongeza SADAKADu jamaa anamadongo, eti kuna madaktari wanakwenda kutoa lecture Japan lakini wako kimya leo hii kijitu hakijulikani hata DRC kina leta mdomo mdomo.