Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Nipo kanisani hapa katuma pepo liende kwa anayesumbua jiji la dsm lakini pepo likajibu haingiliki yule kasema liende hivyohivyo
Once muongo always muongo. Ndio Daudi huyo, kadanganya yeye ni Paulo kwa hiyo kadanganya pia kuwa fulani na fulani ni wauza unga kupaisha jina lake. Kama ushahidi ungepatikana ingekuwa sio tatizo lakini hakuna ushahidi ndio maana lazima watu watambulishwe kuwa huyu mtu ni wa aina gani.Kikubwa ni kutoa ufafanuzi kuhusu tuhuma kulielimisha kanisa kwa nini wekutaja baada ya kufanya utafiti wa mda mrefu but game imehama na washirika wanashangilia badala ya kupewa majibu ya msingi kwanini wewe wamekutuhumu na sio watumishi wengine, hata kama kweli kafoji hawezi kutoa majibu ya tuhuma zako
Mihadarati ni tatizo sana! Sijui unapata wapi siku hizi, maana bado uko High!Hahahah...kwaio amsamehe daudi kwa kufoji vyeti
Vipi Sizonge visasi vyake ni vya nani?Huyu Gwajima si mtumishi wa Mungu ni miongoni Mwa watumishi wa Lucifer! Haiwezekani mchungaji unakuwa na visasi, roho ya chuki, kutamani watu wafe au wafikwe na mabaya! Biblia ilikwisha watabiri watu kama hawa kuwa utawatambua kwa matendo yao hao manabii wa uongo.
NI SHIIDADuh,huyu binti alieita Gwajima,Gwajima.
We ndio ututajie hao unaosema wanafanyiwa visasi, ni akina nani na wanashughuli zipi nchini!?Vipi Sizonge visasi vyake ni vya nani?
Kamwene be!hili kanisa mwezi huu wa tatu tunalifunga rasmi.....linatumika kisiasa
1. UpinzaniWe ndio ututajie hao unaosema wanafanyiwa visasi, ni akina nani na wanashughuli zipi nchini!?