Bashite mpo wengi kweli " alipotangaza hadharani majina ya watuhumiwa mbona hakufata sheria nani kampa mamlaka yakuita watu kituoni " you deal with stupid vry stupidly gwajima hajakosea ......Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
Let us be objective. Makonda anaweza kuwa alifoji cheti/vyeti. Kwa maelezo ya Gwajima, anamfahamu tangu kijijini kwao alikosoma au kwa maana nyingine sakata hilo analifahamu siku nyingi kwa sababu Makonda hakuwa mafichoni. Ni mwanasiasa amekuwa majukwaani akionekana na wanaomfahamu, akina Gwajima walimuona siku nyingi, huku wakifahamu siyo anayeitwa Makonda.Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.
Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.
FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
If obama was persuaded to bring his birth certificate by trump trust me makonda will bring his thru gwajima and the few other whistle blowers give it time.....Me and Pasco could not be more disparate that we already are!
Distractions aside, where's the hard evidence?
Please show me...please...please...
Hivi ameweka hadharani ushahidi gani ambao anaweza akatuonesha? maneno hayawezi kuwa ushahidi.... hivi hata result slip ya anaye mtuhumu amewaonesha?Wengi walifahamu kuwa elimu ya RC ina utata lakini hakuna aliyethubutu kufungua mdomo, leo hii Gwajima ameliweka hadharani tena amemleta mzee kutoka kijiji cha Kalomije anaemfahamu RC tangu enzi anasoma shule ya msingi kwa jina la Daudi Bashite.
Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.
FREE GWAJIMA, HE IS A WHISTLE BLOWER.
Jamaa Ana Vituko DuhYupo serious sana hapo nahic mtume alimshukia akasemezana nae kwa lugha...leo kakumbuka kuvaa kiustadhi ..hajavaa viatu katinga sendo
People bring governments to its knees all the time open ur eyes "Hyo whistle ndo akaipigie central sasa, you can't compete with the government
Mwachieni aonyeshe vyeti...alisema baba bashite asipochukua hatua atatoa vyeti hadharani...kwanini mnahaha kumshika Gwajima??...kwenye ZERO ya bashite Gwajima amehusika vipi?, mtuhumiwa ndio natakiwa ajisafishe dhidi ta tuhuma zinazomkumba...mwambie bashite aweke vyeti hadharani hata kama ana F sita(6) na D moja (1). Alete tu tutamuelewa kua alijitahid kwa kadri ya uwezo wakeHivi ameweka hadharani ushahidi gani ambao anaweza akatuonesha? maneno hayawezi kuwa ushahidi.... hivi hata result slip ya anaye mtuhumu amewaonesha?
Bashite yupo bize na kubadili staili za sala na swala...hakyananii, hii ya kuhudhuria swala ijumaa na ibada jumapili lazima ile ziro igeuke kua iv
Hawezi kwenda ndo maana kamstakia Kwa baba yakeHivi kweli inaingia akilini Gwajima kwenda kuripoti kwa kamanda Sirro kuhusu vyeti vya RC, wenyewe liangalieni hili limekaaje?
Mwenzako kaandika kiswahili, wewe unamjibu kwa kidhungu, dah! Wabeba mabox bwana mna tabu sana. Andika tu kiswahili na wengine tuelewe hii lugha ya malkia siyo kila mtu anaijua, hata mkulu inampiga chenga.Me and Pasco could not be more disparate that we already are!
Distractions aside, where's the hard evidence?
Please show me...please...please...
Aaaagh! Kwa nini mnabadili lugha? Mnatuachaaaa!!!!You have no expertise in recognising the legal evidence, so dont ask for it, or if you can use your brain to atleast 0.5 percent of its capability then every piece of the puzzle is starting to come on its place beautifully!!
Gwajima alikua amepanga mipango ya kuweka swala bayana J2, Ijumaa anawekwa ndani kumfunga mdomo.
Hivi ameweka hadharani ushahidi gani ambao anaweza akatuonesha? maneno hayawezi kuwa ushahidi.... hivi hata result slip ya anaye mtuhumu amewaonesha?
Ha ha ha ha polisi wamchunguze bosi wao? Sijui kwa nini jamii imejaa mijinga jinga namna hii! Nadhani tatizo ni elimu yetu no wonder tuna watu Wa sampuli hizi... Hivi unajua kwa mini wenye tuhumu husimamishwa kazi kupisha uchunguzi? Anyway huenda naongea na fa fa fa!Whistle Blower wa wp???....ujinga ujinga tu...nae angefata utaratibu wa sheria angeenda polisi wafungue jalada la uchunguzi juu ya tuhuma zilizozagaa...kwa ujinga wake anageuza kanisa lake kama sehemu ya mahakama kusikiliza ushahidi..na kutoa hukumu..this is stupid....kila mtu angefanya hivyo kukiwa na tuhuma dhidi ya jambo fulani ...basi unaenda kwenye kijiwe chako kuhukumu...nchi haiendi hivyo bidada jiongeze
Umeandika vizuri,ila ushindwa kuelezea kiini cha ugomvi wa gwajima na makonda.MAKONDA ALITUMIA VIGEZO GANI KUMWEKA GWAJIMA KWENYE ILE ORODHA YA WAUZA MADAWA NA KWENDA KUMTANGAZA HADHARANI????Let us be objective. Makonda anaweza kuwa alifoji cheti/vyeti. Kwa maelezo ya Gwajima, anamfahamu tangu kijijini kwao alikosoma au kwa maana nyingine sakata hilo analifahamu siku nyingi kwa sababu Makonda hakuwa mafichoni. Ni mwanasiasa amekuwa majukwaani akionekana na wanaomfahamu, akina Gwajima walimuona siku nyingi, huku wakifahamu siyo anayeitwa Makonda.
Swali kwa Gwajima ni kwa nini alikaa kimya miaka yote hiyo, Makonda akapewa ukuu wa Wilaya na akapewa ukuu wa mkoa. Akaanza na mapambano ya ukahaba, Ushoga na shisha Gwajima akiwa kimya! Makonda akaja na mapambano ya madawa ya kulevya na hapo ndo Gwajima na wenzake wakaja juu! Hafai! hafai! hafai! Amefoji! namjua tangu Kolomije, ajitokeze.
Kwa Gwajima huu ni unafiki. Kwa kiongozi wa dini anayejinasibu ni mtumishi wa Mungu, hafai. Hata kama Makonda kafoji, Gwajima ameona asimamie haki, pale tu yeye anapoguswa. Walipoguswa wengine aliona ni sawa. Tunaomba atulie na naona busara haijamuingia ndo maana anafikia hatua ya kujikuza kiasi hicho. Bahati mbaya kwa maoni yangu, mchango wake ktk taifa hili hauonekani. Wapo viongozi wanaostahili kuteta na serikali kwa michango yao kwa miasha ya wananchi. Wanajenga shule, wanajenga hospitali, wanasaidia wenye njaa, nk. Not this self-styled askofu!
Mi nipo na ww Sema kushindana na system kama kupaka rangi upepo vile askofu gwajima yupo ndani yule babu toka kolomije unaweza sikia amefarki njianHivi kweli inaingia akilini Gwajima kwenda kuripoti kwa kamanda Sirro kuhusu vyeti vya RC, wenyewe liangalieni hili limekaaje?
Kwa hiyo huo ndo ushahidi kwamba Makonda ana vyeti feki?
Like seriously...?