Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

Kama we ni mwanasheria basi ni bush lawyer.inawezekana ulisoma tu ilimradi upate degree tu.issue ya vyeti feki ilianzishwa na serikali sasa gwajima anatoa ushaidi halafu unasema ashitakiwe we ni mbumbumbu kabisa.
Huyu ni mwanasheria zero kabisa! Kanjanja la kutupwa
 
Nyani Ngabu umewatukana waumini wa dhehebu kwa ajili ya siasa?
 
Kama we ni mwanasheria basi ni bush lawyer.inawezekana ulisoma tu ilimradi upate degree tu.issue ya vyeti feki ilianzishwa na serikali sasa gwajima anatoa ushaidi halafu unasema ashitakiwe we ni mbumbumbu kabisa.
I think he's a PhD holder in laws
 
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Mwanasheria gani anaye angalia upande mmoja? Mbona hutuelezi na upande wa pili, je Gwajima ametendewa haki ktk tuhuma zile?
 
Gwajima huwa anafufua watu walokufa?
Hapa tunaongelea wewe kuwatakana waumini wa kanisa kuwa ni wajinga,huo siyo ustaarabu mwache kila raia aamini na kuabudu anapo amini panamfaa wacha huo mchezo usitafute kuleta chuki za kiimani
 
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
YALE MAJIZI YA VYETI HAYAWASHANGAZI MH.LAWYER ?
 
Mahubiri yake ya Jana yameniacha hoi na siamini Kama police wako serious kwani huyo mchungaji ana sumu mbaya ambayo nyumba za ibada hazijawahi ku practice tangu uhuru acha ugani wake kanisani anaingilia privacy to the extent angekuwa nchi za watu jasho lingemtoka. Kwa nchi wastaarabu hata kutaja tu details zangu jina na address hadharani nitadeal na wewe perpendicular sembuse anavyopakua details za watu in public kweli? Do we have orders up there ? Tunaenda pabaya
Tumia busara. Huyo aliyemtuhumu kwa madawa maliciously alikuwa sahihi? A shilling has two sides
 
Hapa tunaongelea wewe kuwatakana waumini wa kanisa kuwa ni wajinga,huo siyo ustaarabu mwache kila raia aamini na kuabudu anapo amini panamfaa wacha huo mchezo usitafute kuleta chuki za kiimani

Mi mbona sijawazuia watu kumwamini na kumwabudu huyo Gwajima...

Nipo mmoja wa watu wanaoamini kuwa watu wana haki ya kuwa wajinga na wapumbavuu.

Kwa hiyo siipingi hiyo haki yao.

Nimetoa tu maoni yangu kuhusu wao, basi.
 
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
Endelea kudoubt hivyo hivyo. Muda ukifika utaelewa.
 
Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.

Spending too much energy to defend the obvious
 
Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Vyeti vya darasa la saba , kidato cha 3 na kadato cha 4 vya Bashite(Makonda) vitaondoa uchochezi au utata. Kwa nini iwe shida kwa hizo taasisi zinazohusika pia kuweka wazi ubashite au umakonda?

Kama ipo taasisi iliyojuulishwa au kusimamia kiapo cha Bashite kubadilisha jina pia ijitokeze na kuweka wazi hili suala ili umma ujiridhishe na Bashite apate kuendelea na "vita vyake" vya kuwakamata watumiaji wa madawa ya "maraha".

Nijulisheni hivi yupo Registrar wa kubadilisha majina?
 
Mi mbona sijawazuia watu kumwamini na kumwabudu huyo Gwajima...

Nipo mmoja wa watu wanaoamini kuwa watu wana haki ya kuwa wajinga na wapumbavuu.

Kwa hiyo siipingi hiyo haki yao.

Nimetoa tu maoni yangu kuhusu wao, basi.
Huu ni uchochezi wa hali ya juu sana,huwezi kuwatakana waumini wa dini kuwa ni wajinga kisa siasa. Wacha tuparulane kwenye siasa lkn mambo ya imani za kiroho tusiguse
 
Anachofanya Mkullu kugawa watu wameshamuonya??Kama bado basi mwambie apandacho ndicho atakachovuna.Hapa ni vyeti tu hakuna kingine.
Ninawashangaa watu. Aliyeanzisha hii vita ya fake vyeti yupo mbona hawamwombi afute hiyo vita na kukanusha kuwa it was a mistake in the first place?
 
Sasa hapo nani anastahili kuchukuliwa hatua Gwajima au yule aliefoji vyeti?!
 
kama kweli gwajima ni muongo mpaka sasa mbona hajachukuliwa hatua za kisheria juu ya uongo huo kwanini ameachwa aendelee na uongo huo
 
Mleta mada unafaa upuuzwe zaidi ya upuuzi wenyewe!Hivi tatizo liko wapi,si mlete vyeti tu ili uongo na ukweli ujulikane?

Badala ya kuzindua barabara za "viwango vya zege", mwambieni azindue vyeti vyake!
 
Mi mbona sijawazuia watu kumwamini na kumwabudu huyo Gwajima...

Nipo mmoja wa watu wanaoamini kuwa watu wana haki ya kuwa wajinga na wapumbavuu.

Kwa hiyo siipingi hiyo haki yao.

Nimetoa tu maoni yangu kuhusu wao, basi.
Ndugu wacha kucheza na imani za kiroho na watu wacha kabisa ni utani mbaya sana
 
Back
Top Bottom