Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,691
- 164,962
Nakumbuka kuna mtu alisimama madhabahunu ni kuahidi kutumbu watua nau
Kwani hamna TAasisi ambayo inahusika na madawa ya kulevya?Mjomba be properly informed that kuna taasisi ambazo zipo kisheria zinazohusika na masuala ya kutoe vyetu na kuhakiki vyeti. Pia kama kuna criminal element ktk suala hilo la vyeti kuna investigation machinery(police force) for that purpose. Gwajima hahusika and he is a layman in that field. Anachofanya ni majungu ya kipuuzi na ya kitoto. I have serious doubt on his maturity.
blah, blah, blah...vipi na yule anayevunja katiba ya nchi aiyoapa kuilinda na kuitetea? Kama sheria mama imeshavunjwa, hivyo visheria uchwara vina nguvu gani? Vipi na kwa mwizi wa jina na mfojaji wa cheti, sheria inasemaje?Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
je, vipi kuhusu RC....yeye anaruhusiwa ku-victimize watu ovyo ovyo?Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Kweli angelikuwa na akili badala ya kupiga kelele madhabahuni angelikwenda polisi kufungua jalada la uchunguzi......yy amejifanyiza kuwa mpelelezi prosecutor na pia kuwa hakimu..thats stupidGwajima kawachota walio wajinga tu.
Kumbe mko wengi, Kumbe hayuko pekee yake, toka lini kuhoji vyeti vya mtu kukawa ni uchochezi, toka lini kulitaja jina la mtu kukawa ni ukiukwaji wa sheria ni sheria ipi inazuia usitaje jina Fulani? toka lini polisi wameañza kudhibiti wasutaji kama kusuta/umbea ni kosa basis wanawake wa manzese na wale jamaa wa shilawadu wa clouds wanatakiwa kuwa ukonga muda huu.Msajili wa taasisi(The Registrar of Societies) ana wajibu wa kuchukua hatua dhidi ya taasisi ambayo imeacha kutekeleza malengo ya kusajiliwa kwake, na kujivika joho la jukwaa la kisiasa na la uchochezi. The Regisrar aforementioned must take actions against such breach of terms of registration. Kila jumapili mahubiri ni Makonda Makonda, Why? Gwajima anatakiwa kuwahubiri watu wake NENO la Mungu, siyo majina ya watu. Furthermore, the police force must take action against such offender who always preach VIOLENCE. Uchochezi ni kosa la jinai. Kuhubiri kila siku majina ya watu ni uchochezi ambao ukiachwa hivihivi utasababisha uvunjifu wa amani. Ombi:Taasisi husika zitoe stop order kwa Gwajima, asiendelee tena kuhubiri watu ndani ya kanisa na wakati wa ibada. Who is he to be allowed to continue violating the law of the Land?
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Tena wajinga hasaGwajima kawachota walio wajinga tu.
I concur with youKweli angelikuwa na akili badala ya kupiga kelele madhabahuni angelikwenda polisi kufungua jalada la uchunguzi......yy amejifanyiza kuwa mpelelezi prosecutor na pia kuwa hakimu..thats stupid
Hakuna mwanasheria mjinga kama wewe unaeandika ukiwa tumbo wazi unatetea mtu mwenye kosa la jinai..uselessMimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Kama we ni mwanasheria basi ni bush lawyer.inawezekana ulisoma tu ilimradi upate degree tu.issue ya vyeti feki ilianzishwa na serikali sasa gwajima anatoa ushaidi halafu unasema ashitakiwe we ni mbumbumbu kabisa.Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Box tupuMimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Mimi kama mwanasheria nashangaa sana kuona Gwajima na taasisi yake haguswi na vyombo vya dola wakati yeye na taasisi yake wanavunja sheria za nchi. Hiyo taasisi ifutwe.Gwajima akamatwe. Laws must be enforced without discrimination.
Point [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Sawa yeye makonda alipomhisia kuwa anauza na kutumia madawa ya kulevya alikuwa na uhalali upi wakati kazi hiyo ya hisia ilitakiwa ifanywe na polisi
Hujui unaandika nini. Kalale.We mjinga sana, kuhubiri kanisani kunaendana na kukemea maovu, kuforge vyeti ni ovu na dhambi sasa unategemea nani akemee. Suluhisho hapa aweke vyeti vyake wazi.